Saturday, June 27, 2026
Home 2023 February

Monthly Archives: February 2023

ASKARI WA UHIFADHI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewataka Askari wa Uhifadhi katika maeneo mbalimbali nchini wazingatie sheria kanuni,taratibu na miongozo pindi...

Zao la Mpira kuendelezwa Maeneo yenye Hali ya Hewa inayokubalika nchini.

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa wito kwa wakulima walioko katika maeneo yenye hali ya hewa kama ya...

DKT. BITEKO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 39 STASHAHADA YA TEKNOLOJIA YA MADINI YA VITO NA...

0
Awataka Wahitimu kutumia Elimu na Ujuzi walioupata kutoka TGC Asisitiza umuhimu wao katika shughuli za uongezaji thamani madini Awataka wawekezaji Sekta ya Madini kuwatumia wahitimu hao Serikali...

WAKAZI WA MKOA WA MWANZA KUSHUHUDI KESHO MELI YA MV MWANZA HAPA KAZI TU

0
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Khigoma Malima amewaarika wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika hafla ya kitaifa ya ushushwaji meli ya...

WAJUMBE KATA YA KISEKE WAMUONDOA DIWANI KIBABE

0
Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kiseke wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza umemkataa diwani wa kata hiyo Mwevi Ramadhani kwa kupiga...

TIMU YA WAWEKEZAJI KUTOKA SWEDEN WAKUTANA NA DKT. BITEKO

0
Timu ya wawekezaji kutoka nchini Sweden ikiongozwa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Charilotta Ozaki Makiasi na Mkurugenzi Mkuu wa Scania Lors Eklund wamekutana...

BUNGENI: BILIONI 16.5 ZIMETENGWA KUKARABATI HOSPITALI KONGWE – DKT. DUGANGE

0
OR TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amesema Serikali imetenga fedha shilingi bilioni 16.5 kufanya ukarabati wa hospitali 19...

TBS YAITAKA JAMII NA WAANDAAJI WA CHAKULA KUZINGATIA USALAMA WA CHAKULA

0
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka Waandaji wa vyakula katika maeneo mbalimbali nchini pamoja na wananchi kwa ujumla kuhakikisha usalama wa chakula wanachokiandaa ili...

PROF MDOE AIPONGEZA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM MRADI WA EASTRIP

0
 Na Mwandishi Wetu. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia,  Prof. James Mdoe ameipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kutekeleza...

Serikali imedhamiria kutekeleza Mradi wa Liganga na Mchuchuma kwa Manufaa ya Taifa.

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.)ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuwa Serikali imedhamiria...