Saturday, June 27, 2026
Home 2023 February

Monthly Archives: February 2023

WAZIRI MKUU AZINDUA NYARAKA ZA USIMAMIZI WA MAAFA

0
*Asisitiza wanaohusika na usimamizi wa maafa watekeleze majukumu yao ipasavyo* WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka sekta zote zinazohusika na utekelezaji wa shughuli za usimamizi wa...

DKT. BITEKO AZINDUA KAMATI MPYA YA TEITI

0
Aitaka Kamati kuleta matokeo chanya katika usimamizi wa rasilimali madini, mafuta na gesi asilia Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amezindua Kamati ya tano ya...

Mhe. Mchengerwa awataka madiwani kutanguliza mbele maslahi ya Wananchi

0
Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, MNEC wa Mkoa wa Pwani na Mbunge wa Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka madiwani wa Rufiji...

MELI YA MV MWANZA HAPA KAZI TU KUSHUSHWA NDANI YA ZIWA ILI KUENDELEA NA...

0
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli, Eric Hamissi amesema, Meli ya Mv Mwanza Hapa ujenzi wake umefikia asilimia 82 hadi kukamilka kwake...

KONGAMANO LA KUTOKOMEZA MILA POTOFU KUFANYIKA MKOANI TANGA

0
Na Boniface Gideon, TANGA Kongamano la kutokomeza maadili potofu kwa hasa  rika la watoto litakalohusisha madhehebu mbalimbali linatatajiwa kufanyika jumamosi hii katika viwanja vya Pongwe...

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI INDABA-AFRIKA KUSINI

0
yatangaza fursa za uwekezaji sekta ya Madini Afrika Kusini Katibu Mkuu Wizara ya Madini Adolf Ndunguru ameongoza ujumbe wa Wizara hiyo na wadau wa...

EWURA CCC YAWASISITIZA WATUMIAJI WA VYOMBO VYA MOTO KUTIMIZA WAJIBU WA KUDAI RISITI

0
Na Theophilida Felician Kagera. Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji Mkoa Kagera EWURA CCC limewakumbusha na kuwahimiza watumiaji wa vyombo...

MGODI WA SHANTA KUANZA RASMI UZALISHAJI MACHI 2023

0
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Shanta Mining Limited kwa kukamilisha ujenzi wa mgodi ambao unatarajiwa kuanza uzalishaji Machi 2023. Dkt. Biteko...

WATUMISHI WA NMB KAGERA WATOA MSAADA WA SETI 156 ZA MASHUKA HOSPTALI YA RUFAA...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Watumishi wa Benki ya NMB matawi ya Misenyi, Kayanga, Muleba, Kaitaba, Nkwenda na Kyerwa kwa umoja wao wameungana na kuchangia jumla...

WAZIRI MKUU MGENI RASMI UZINDUZI WA NYARAKA ZA USIMAMIZI WA MAAFA.

0
Na Mwandishi wetu; Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Nyaraka za...