EWURA KANDA YA KATI YATOA WITO KUHUSU LESENI ZA MAFUNDI UMEME,MAONESHO YA NANENANE
Na Mwandishi Wetu
Meneja Kanda ya Kati wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bi. Hawa Lweno, ametoa wito kwa mafundi...
JUBILEE GROUP TANZANIA YAZINDUA UKUTA WA SHULE YA MSINGI MADENGE KUIMARISHA USALAMA
JUBILEE Group Tanzania imezindua rasmi ukuta uliojengwa kuzunguka Shule ya Msingi Madenge iliyopo Temeke, Dar es Salaam, kwa lengo la kuimarisha usalama na kuondoa...
WAFANYABIASHARA WA MADUKA YA SIMU KARIAKOO WAPATA FURSA YA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KWA TRA
Kariakoo, 7 Agosti, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kariakoo imeendelea kusogeza huduma karibu na walipa kodi kwa kukutana na wafanyabiashara wa maduka...
CHANDE AIPONGEZA WRRB KWA KUWAWEZESHA WAKULIMA KUFIKIA MASOKO
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, ameipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa mchango wake katika kuwawezesha wakulima...
MFUMO WA M+2 WAIMARISHA UHAKIKA WA MAFUTA NCHINI
DODOMA
Mfumo wa kuagiza mafuta kwa ajili ya matumizi ya miezi miwili inayofuata umeiwezesha Tanzania kuendelea kuwa na bidhaa za mafuta za kutosha, licha ya...
DKT. SIMBEYE: WALIMU BORA NDIO MSINGI WA ELIMU YENYE UBORA
Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule, Dkt. Ephraim Simbeye,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vya Ualimu vya Serikali na visivyo vya...
CHANDE AWATAKA WAKULIMA KUTUMIA ELIMU YA FCC KUONGEZA THAMANI YA MAZAO
Serikali imewataka wakulima, wafugaji, wavuvi na wajasiriamali nchini kutumia elimu ya ushindani wa haki na ulinzi wa mlaji kama nyenzo ya kuongeza thamani ya...
RAIS SAMIA,MUSEVEN WASHUHUDIA MAKUBALIANO YA TRILIONI 56 KUIFANYA TANGA KITUO KIKUU CHA NISHATI YA...
Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan na Yoweri Museveni wa Uganda wameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano...
SANGU: SERIKALI ITAENDELEA KUSIKILIZA NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAZEE
Na.OWM (KAM), Lindi
Serikali imesema itaendelea kutambua na kuthamini mchango wa wazee katika kujenga jamii yenye amani, umoja na mshikamano wa kitaifa.
Amesema hayo Waziri wa...
WAJASIRIAMALI KUTOKA PEMBA WATEMBELEA BANDA LA WMA NANE NANE, WAPATA ELIMU YA VIPIMO
Na WMA - DODOMA.
Wajasiriamali wa kikundi cha Hapa Kazi kutoka Shehia ya Mtemani Wingwi, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba wametembelea banda la...













