BRELA YATOA ELIMU YA URASIMISHAJI BIASHARA NA USAJILI WA ALAMA ZA BIASHARA NA HUDUMA...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewataka vijana wanaoshiriki mpango wa Kujenga kesho bora (Building a Better Tomorrow (BBT)...
CHANDE AVUTIWA NA MAFANIKIO YA TADB KWENYE KILIMO
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, ametembelea banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea...
WMA YAWAFUNDISHA WATOTO VIPIMO: NAIBU WAZIRI MALIASILI APONGEZA
Na WMA - DODOMA.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, amefurahishwa na uelewa mkubwa ulioonyeshwa na wanafunzi waliopata elimu ya vipimo katika...
DKT. MSONDE: TBA NI KITOVU CHA FURSA ZA UWEKEZAJI KUPITIA MIRADI YA UBIA (PPP)
Na.Mwandishi Wetu.
Serikali imewataka wawekezaji binafsi na taasisi mbalimbali nchini kutumia fursa zinazotolewa kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuwekeza katika ujenzi wa nyumba, majengo...
TBS KANDA YA MAGHARIBI YATUMIA MAONESHO YA NANE NANE KUWAINUA WAJASIRIAMALI NA BIDHAA ZA...
Na Adery Masta .
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Magharibi linaendelea kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi na wajasiriamali katika Maonesho ya Wakulima ya...
TIRDO YAWAKARIBISHA WANANCHI KUJIFUNZA TEKNOLOJIA ZA VIWANDA NANENANE
SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limesema linaendelea kuwasaidia wakulima na wajasiriamali kuongeza thamani ya mazao, kupunguza gharama za uzalishaji na...
WAKAGUZI WA MAFUTA WAIMARISHA UDHIBITI WA UBORA WAKATI WA UPAKUAJI
Serikali, kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), inasimamia upakuaji wa shehena za mafuta kutoka melini hadi kwenye maghala ya kuhifadhia mafuta, ili...
WAMILIKI VITUO VYA KULEA WATOTO WAHIMIZWA KUWEKEZA KWA WALEZI WENYE TAALUMA
Na Mwandishi Wetu
WAMIKI wa vituo vya kulelea watoto nchini wamehimizwa kuwekeza katika mafunzo ya kitaalamu kwa walezi ili kuboresha ubora wa huduma za malezi...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUDHIBITI TAKA ZA PLASTIKI.
Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha kunakuwa na uwiano kati ya udhibiti wa taka za plastiki, ulinzi wa mazingira na ukuaji wa sekta...
WAZIRI SANGU:WAKULIMA NA WAFUGAJI LIWALE DUMISHENI AMANI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na wananchi wa Wilaya ya...















