Thursday, September 17, 2026
Home 2026 August

Monthly Archives: August 2026

TBA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI KATIKA MAKAZI NA MAJENGO YA BIASHARA

0
Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma, QS Emmanuel Wambura,akizungumza kwenye banda la TBA  katika Maonesho ya 49 ya Kilimo ya...

RUZUKU YA SERIKALI YAPUNGUZA GHARAMA ZA MBOLEA KWA WAKULIMA

0
Serikali kupitia Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) imewahakikishia wakulima nchini upatikanaji wa mbolea ya kutosha kwa msimu wa kilimo wa mwaka huu, ikitangaza kuanza...

PASTEL, VICHEKO NA SERENGETI PREMIUM APPLE: NDANI YA SHEREHE KUBWA YA MARAFIKI DAR ES...

0
Urafiki wa kweli ulipata nafasi ya kuadhimishwa kwa namna ya kipekee wakati wanawake kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam walipokutana katika...

MFUMO WA SCADA WAIMARISHA UDHIBITI WA MAFUTA NCHINI

0
Na Mwandishi Wetu, DodomaMfumo wa Supervisory Control and Data Acquisition (SCADA) yameimarisha udhibiti wa upotevu wa mafuta wakati wa shughuli za ushushaji kutoka melini...

WAKALA WA VIPIMO WAELEZA TIBA YA GESI PUNGUFU

0
Na.WMA-DODOMA WANANCHI  wametakiwa kuhakikisha wanapima mitungi ya gesi kabla ya kuinunua ili kujiridhisha kuwa wanapata kipimo cha gesi kinacholingana na fedha wanazolipa, huku wafanyabiashara wote...

PBPA YATOA ELIMU KUHUSU MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unasimamia Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, ambao umeisaidia Serikali kuhakikisha bidhaa za mafuta...

MAKAMU WA RAIS DKT. NCHIMBI ASISITIZA UWEKEZAJI KATIKA MNYORORO WA THAMANI WA KILIMO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametembelea Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)...

WAZIRI SANGU: BANDARI YA UVUVI KILWA MASOKO KUFUNGUA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA

0
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Clement Sangu akikagua maeneo mbalimbali katika Bandari ya Uvuvi...

INCLUSIVE MWALIMU GALA 2026 YAIBUA MIKAKATI YA KUFIKIA DIRA 2050

0
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafadh Ameir, amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake wanataaluma katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo...

TGNP YAWAPA WANAWAKE WA VIJIJINI FURSA YA KUJIFUNZA NA KUNUFAIKA NANE NANE

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Maonesho ya 49 ya Kilimo ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela, Nzuguni jijini Dodoma, yamekuwa jukwaa...