Thursday, September 17, 2026
Home 2026 August

Monthly Archives: August 2026

NANE NANE 2026: TBS YATIA MKAZO UBORA WA BIDHAA KUSHINDANA SOKO LA AFRIKA

0
   Na Adery Masta . Katika kipindi ambacho Maonesho ya Nane Nane 2026 yanaendelea nchini, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa bidhaa nchini...

FCC YATOA ELIMU NANENANE, YALENGA SOKO LENYE USHINDANI NA ULINZI WA MLAAJI

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, ameshiriki kilele cha Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo...

RAIS SAMIA AIELEKEZA TAMISEMI KUSIMAMIA HUDUMA ZA UGANI KWA TIJA NA UFANISI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...

RAIS SAMIA AIPONGEZA TADB KUWA MDHAMINI MKUU NANENANE, AIPATIA TUZO

0
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha upatikanaji wa mitaji kwa wadau wa sekta ya kilimo kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania...

WRRB YAJA NA UBUNIFU KWENYE ZAO LA PARACHICHI

0
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza mazungumzo na wazalishaji wa parachichi katika wilaya za Mufindi na Njombe kwa lengo la kuanzisha...

TPDC YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA PUMP STATION NAMBA 3-MRADI WA EACOP

0
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema linaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Pump Station Namba 3 (PS3) wa Mradi wa Bomba la...

LONDO AHAMASISHA WANANCHI KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KWENYE NANENANE

0
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo,akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 7,2026 mara baada ya kutembelea mabanda ya Taasisi zilizochini ya...

NHIF: BIMA YA AFYA NI MSINGI WA MAISHA YA KILA MTANZANIA

0
Yawataka wananchi kujiunga mapema kujikinga na gharama za matibabu Na Grace Michael, Dodoma MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewahimiza wananchi nchini kujiunga na...

FCC YACHOCHEA THAMANI YA MAZAO, YAFUNGUA FURSA ZA MASOKO YA NDANI NA NJE YA...

0
Na.Mwandishi Wetu Tume ya Ushindani (FCC) imetajwa kuwa mdau muhimu katika kuongeza thamani ya mazao ya Watanzania kupitia elimu ya ushindani wa haki na ulinzi...

TBS YATOA ELIMU YA UBORA WA BIDHAA KATIKA MAONESHO NANENANE ARUSHA

0
Meneja wa Kanda ya Kaskazini (TBS),Mhandisi Yona Afrika akitoa elimu ya Viwango kwa wajasiriamali katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini yanayoendelea jijini Arusha. Na.Mwandishi...