Monday, June 15, 2026
Home 2026 May

Monthly Archives: May 2026

VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI DODOMA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO YA USHIRIKA MTWARA

0
Viongozi mbalimbali wa Chama cha mapinduzi Mkoa na Wilayani wakiambatana na Viongozi wa Serikali mkoa wa Dodoma wameanza safari ya Kikazi kuelekea mkoani Mtwara...

MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WAPATIWA MAFUNZO YA HAKI MILIKI

0
Majaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wamepatiwa mafunzo maalum kuhusu masuala ya haki miliki, hatua inayolenga kuwajengea uwezo katika usikilizaji na...

TANZANIA KUENDELEA KUTUMIA AKILI UNDE KATIKA KUKABILIANA NA MAAFA

0
TANZANIA imesema itaendelea kutumia teknolojia ya Akili Unde (AI) katika kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa nchini ili kuongeza ufanisi wa utoaji wa tahadhari...

MWENYEKITI BODI YA REA ATOA WITO KWA WANANCHI KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME

0
📌 Vijana maeneo ya mradi wa umeme kwenye vitongoji kupewa kipaumbele kwenye ajira Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imetoa wito kwa wananchi kuwa walinzi wa...

SERIKALI KUANZA KUZALISHA DAWA ZA VVU NCHINI

0
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameendelea kutoa mchanganuo wa mafanikio ya serikali bungeni leo, Mei 11, 2026, akibainisha kuwa nchi imepiga hatua kubwa...

WAGONJWA NCHI JIRANI WAKIMBILIA TANZANIA KUPATA HUDUMA ZA UBINGWA BOBEZI.

0
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameanika mafanikio makubwa ya sekta ya afya bungeni jijini Dodoma leo, Mei 11, 2026, akibainisha kuwa Tanzania imekuwa...

SERIKAL YAIMARISHA KWA KASI UPATIKANAJI HUDUMA YA AFYA

0
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa kuna upanuzi mkubwa wa miundombinu ya matibabu nchini Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...

WIZARA YA AFYA YAKUSANYA BILIONI 593 NDANI YA MIEZI TISA

0
TRILIONI 1.11 ZAPOKELEWA KUTEKELEZA MIRADI YA AFYA Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa...

TASAC YAWEKA MIKAKATI WA BANDARI KAVU

0
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeanza mikakati ya kupunguza msongamano wa makasha katika Bandari ya Dar es Salaam kwa kuongeza ufanisi wa...

BODI YA REA YAFANYA ZIARA KWENYE KAMPUNI ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ARUSHA

0
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) leo Mei 10, 2026 imefanya ziara katika Kampuni zinazozalisha, kusambaza bidhaa za nishati safi ya kupikia katika Mkoa wa...