WAMILIKI WA VIWANDA VIPYA WATAKUWA KUAJIRI WAZAWA KUKUZA BIASHARA NA UCHUMI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amewashauri Wamiliki wa Viwanda vipya Kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira ili kukuza uchumi na mapato...
COOP BANK YAZINDUA TAWI MTWARA MJINI KUCHOCHEA UCHUMI JUMUISHI
Na Mwandishi Wetu
Benki ya Ushirika (Coop Bank) mwishoni mwa wiki ilizindua rasmi tawi lake jipya Mtwara mjini ikiwa ni hatua muhimu katika utekelezaji wa...
BODI YA REA YAIPONGEZA JKT MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali (Mstaafu), Jacob Kingu amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa utekelezaji wa mradi...
KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MITAMBO YA ORYX DAR
KAMPUNI ya Oryx Energies Tanzania Limited imeendelea kuonesha mchango wake katika kukuza uchumi wa taifa baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati...
TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKI WAKE KWENYE MIKUTANO YA KIKANDA NA KIMATAIFA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,Dkt. Dorothy Gwajima,akizindua rasmi Mwongozo wa Kuratibu Ushiriki wa Wadau wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...
WAZIRI KAPINGA: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA EU UFUNGUE MILANGO YA KIUCHUMI NA SIO UTEGEMEZI.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuhakikisha sekta binafsi, hususan wafanyabiashara wadogo na...
WAZIRI KAPINGA AITAKA TBS KULINDA RASILIMALI ZAKE , AWAKABIDHI MAGARI MAPYA 11 KUIMARISHA UKAGUZI...
Na Adery Masta.
Dar es Salaam, Mei 8, 2026 — Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, ameliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuhakikisha...
WADAU JIJINI DAR ES SALAAM WASHIRIKI MAPITIO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA KUENDANA...
Na. Saidina Msangi, WF, Dar es Salaam.
Wizara ya Fedha imeendelea na mchakato wa kupitia upya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa...
REA YAIMARISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MWANZA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtambulisha rasmi mtoa huduma, kampuni ya Envotec Services Limited, kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Said Mtanda, kwa...
BODI YA NISHATI VIJIJINI (REB) YAFANYA KIKAO NA WAKANDARASI WA MIRADI UMEME VIJIJINI MKOA...
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu, leo tarehe 8 Mei, 2026 imefanya...













