Monday, June 15, 2026
Home 2026 May

Monthly Archives: May 2026

OFISI YA MAKAMU WA RAIS,UNICEF TANZANIA KUSHIRIKIANA UTEKELEZAJI DIRA 2050

0
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa akifanya mazungumzo na Mkuu wa Masuala ya Maji na Usafi wa Mazingira wa...

SERIKALI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

0
Na Saidina Msangi, WF, Dodoma Wizara ya Fedha imebainisha kuwa itaendelea kujenga uelewa, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na mashirika yasiyo ya...

SHULE YA SERIKALI YA KENYA YATEMBELEA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA

0
Dar es Salaam- Mei 5, 2026 Mkurugenzi Mkuu wa Shule ya Serikali Kenya (KSG), Prof. Nura Mohamed na ujumbe wake   wametembelea Chuo cha Utumishi wa...

NAIBU WAZIRI WANU AWASILISHA RANDAMA ZA BAJETI 2026/2027 BUNGENI

0
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidhi Ameir, leo Mei 6, 2026, amewasilisha Bungeni jijini Dodoma randama za Makadirio ya Mapato...

SEKTA BINAFSI INAVYOLETA MAPINDUZI KATIKA MCHEZO WA KUOGELEA KWA KUWANOA BURE MAKOCHA WAZAWA

0
Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State (katikati) akiwa ameshika bendera...

WATUMIAJI WA VILAINISHI VYA MAFUTA WATAHADHARISHWA KUHUSU BIDHAA FEKI

0
Na Boniface Gideon, Tanga Watumiaji wa vilainishi vya mafuta nchini wametakiwa kuwa waangalifu wanaponunua bidhaa hizo kutokana na uwepo wa bidhaa feki sokoni. Tahadhari hiyo...

RC SHINYANGA AWAAALIKA WANANCHI KUPATA MSAADA WA KISHERIA BURE

0
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kupata huduma za msaada wa kisheria zitakazoanza kutolewa kuanzia tarehe...

HANDENI MJI YAPIGA HATUA KUDHIBITI UTAPIAMLO KWA WATOTO

0
*Watoto wanaolazwa wapungua kutoka 32 hadi 7 kwa robo mwaka Na Augusta Njoji IDADI ya watoto wanaokabiliwa na utapiamlo mkali katika Halmashauri ya Mji Handeni imepungua...

WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE YANGA WATOA MSAADA HOSPITALI YA BOMBO

0
Na Boniface Gideon, Tanga Waandishi wa habari wanawake kutoka vyombo mbalimbali mkoani Tanga leo wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa...

SERIKALI YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAJIKO BANIFU KWA ASILIMIA 80 KAGERA

0
Mradi wa usambazaji wa majiko banifu mkoani Kagera unalenga kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia na kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa, hali...