SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA NI MHIMILI WA UCHUMI – KAMATI YA BUNGE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji...
TRA TANGA YAWANOA WANAWAKE WAFANYABIASHARA
Na Boniface Gideon, TANGA
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Tanga,imetoa Elimu ya mlipakodi pamoja na fursa mbalimbali zinazowazunguka Wanawake Wafanyabiashara na Wajasiriamali ili...
HAKIKISHENI GESI YENU INAPIMWA KABLA YA KUNUNUA – KIHULLA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Bw. Alban Kihulla akijibu maswali na kutoa ufafanuzi kuhusu vipimo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu...
RC MTWARA AWAASA VIONGOZI WA CCM KUHAMASISHA WAKULIMA KUTUMIA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanal Donald Msengi, amewashauri Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwahimiza wakulima kutumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri...
DED MBEYA DC AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA AJIRA 259
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
TRA YAPONGEZWA KWA KUIMARISHA MAADILI YA WATUMISHI WAKE
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salumu ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa jitihada zake za kuimarisha...
DCEA YAKAMATA LITA 66,048 ZA KEMIKALI BASHIRIFU, WATUHUMIWA WAWILI WATIWA MBARONI
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali pamoja na Mamlaka...
NIT YAENDELEA KUZALISHA WATAALAM WA MIRADI MIKUBWA YA KITAIFA
NA EMMANUEL MBATILO
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeendelea kutoa mafunzo kupitia kozi ndefu 49 zinazolenga kuzalisha wataalam mahiri watakaosaidia utekelezaji wa miradi mikubwa...
MAFUNZO YA URUBANI NIT YATOA TUMAINI KWA VIJANA
NA EMMANUEL MBATILO
Serikali imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani kupitia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), hatua inayotajwa kuwa utekelezaji wa maono ya Rais...













