NEMC YATIMIZA MIAKA 40, SERIKALI YAAHIDI MABORESHO YA KISHERIA
- Ataka kila mmoja mmoja aone ni suala lake
-Asisitiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa mazingira
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wabadili mtazamo kuhusu...
PROF. NOMBO AIPONGEZA ADEM NA VVOB KWA KUJENGA UWEZO WA WAKUU WA SHULE
SERIKALI imezindua rasmi Mpango wa Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu kwa Wakuu wa Shule za Sekondari na Maafisa Elimu Kata nchini, hatua...
MEJA JENERALI MABELE AWAKARIBISHA VIJANA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena, akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 28,2026 katika Mako Makuu ya JKT Chamwino...
TBS WATOA MAFUNZO KWA WAOKAJI KUHUSU UMUHIMU WA KUZINGATIA VIWANGO VYA UBORA NA USALAMA...
Na Mwandishi Wetu.
Katika jitihada za kuendelea kulinda afya za watumiaji na kukuza uchumi wa wajasiriamali nchini, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuonesha dhamira...
WANANCHI WA KILWA MASOKO WAIPONGEZA REA KWA MAFUNZO YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Masoko mkoani Lindi, wametoa pongezi na shukrani kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kusambaza teknolojia na kutoa...
WAZIRI SANGU AZINDUA BODI YA SABA YA USHAURI YA OSHA
-Asisitiza Utekelezaji wa Viwango vya Kimataifa vya Usalama na Afya katika Maeneo ya Kazi
Na, OWM-KAM
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira...
MABADILIKO YA SERA YASABABISHA MAREKANI NA UINGEREZA KUFUNGA OFISI NDOGO ZA UBALOZI ZANZIBAR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amelieleza Bunge kuwa Marekani na Uingereza zilifunga Ofisi Ndogo...
NAIBU WAZIRI KWAGILWA AHIMIZA USHIRIKIANO USAFI WA MAZINGIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa leo Mei 25, 2026 akiongoza zoezi la usafi wa mazingira lililohusisha...
RUVUMA YAPOKEA MAJIKO BANIFU 7,648 KWA BEI YA RUZUKU
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, leo Mei 25, 2026 amepokea rasmi mradi wa uuzaji na usambazaji wa majiko...
WAHITIMU UDSM WAASWA KUTUMIA MAARIFA, UBUNIFU NA TEKNOLOJIA KULETA MABADILIKO YA JAMII
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wametakiwa kutumia maarifa, ubunifu na teknolojia kuleta mabadiliko chanya katika jamii,...













