Monday, June 15, 2026
Home 2026 May

Monthly Archives: May 2026

TBS WATOA ELIMU YA USALAMA WA CHAKULA KWA WAFANYA BIASHARA WA CHIPS DAR ES...

0
Na Adery Masta. Katika hatua muhimu ya kuendelea kulinda afya za wananchi pamoja na kuimarisha ubora wa huduma za chakula mitaani, Shirika la Viwango Tanzania...

SABASABA YAJA NA “USIKU WA DHAHABU” KUIBUA HISTORIA YA MIAKA 50 YA MAGEUZI YA...

0
 Dar es Salaam Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Dhahabu ya miaka 50 ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam...

UPANUZI WA KIWANDA CHA MAGARI CHA SATURN, MAELFU WANUFAIKA NA AJIRA

0
Serikali imesema mafanikio yaliyofikiwa na kiwanda cha kuunganisha magari aina ya Howo kinachomilikiwa na Saturn Corporation Limited ndani ya kipindi cha miaka miwili ni...

BONDIA MMAREKANI AFURAHIA MAPOKEZI TANZANIA, AJIANDAA KUONA MAAJABU YA SERENGETI

0
Bondia wa kimataifa wa Marekani Terence “Bud” Crawford amesifu ukarimu wa Watanzania tangu alipowasili nchini Mei 24, 2026, kwa ziara ya kitalii. Bondia huyo ameyasema...

BONDIA MASHUHURI KUTOKA MAREKANI ATUA KUFANYA “ROYAL TOUR” TANZANIA

0
Bondia mashuhuri kutoka Marekani mwenye rekodi ya kushika mikanda yote minne ya dunia katika uzito wake ukiwemo wa welterweight, Terence “Bud” Crawford, ametua nchini...

TADB YATUMIA REDIO ZA KIJAMII KUFIKIA WAKULIMA NCHINI

0
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inaendesha semina kwa wamiliki na wahariri wa redio za kijamii zipatazo 50 toka Tanzania Bara na Zanzibar...

WAZIRI MKUU: MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI

0
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa...

NLD IMEMPONGEZA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KWA KUIANDIKIA CCM BARUA

0
Na Boniface Gideon, Tanga Chama cha National League for Democracy (NLD), kimeipongeza Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kwa hatua stahiki ilizochukua hivi...

DCEA YATEKETEZA KILO 504.36 ZA HEROIN MTWARA BAADA YA AMRI YA MAHAKAMA

0
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza kilogramu 504.36 za dawa za kulevya aina ya heroin katika kiwanda cha saruji...

KISHINDO CHA TBS VIWANGO MARATHON 2026 , HAYA HAPA MATUKIO YOTE YALIYOJIRI.

0
  Na Mwandishi Wetu. MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uzingatiaji wa viwango katika uzalishaji wa bidhaa na huduma ni msingi muhimu...