TUME YA MADINI YAANZA KUTUMIA MFUMO WA IDRAS KUONGEZA UFANISI, MAPATO
Arusha
Tume ya Madini imeanza rasmi kutumia Mfumo Jumuishi wa Kodi za Ndani (IDRAS) unaolenga kurahisisha utoaji wa huduma, kuongeza ufanisi wa utendaji na kuongeza...
MBUNGE SHABIBY AIPONGEZA WMA KWA KULINDA MASLAHI YA WANANCHI NA KUSIMAMIA VIPIMO SAHIHI
Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, ameupongeza Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kwa kazi kubwa inayofanya katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma na bidhaa...
KAMISHNA JENERALI LYIMO AKABIDHIWA TUZO YA SHUKRANI
Mtandao wa Wamiliki wa Nyumba za Upataji Nafuu nchini, Tanzania Network for Voice of Sober House Tanzania, umemkabidhi tuzo ya shukrani Kamishna Jenerali wa...
KAPINGA: HAKUNA NAFASI KWA BIDHAA BANDIA NCHINI
Wizara ya Viwanda na Biashara imeendelea kupambana na bidhaa bandia nchini kupitia operesheni maalum zilizofanywa na Tume ya Ushindani (FCC), ambapo hadi Aprili 2026...
TIRDO YAENDELEA KUTAMBUA FURSA ZA UWEKEZAJI
NA EMMANUEL MBATILO, DODOMA
Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) imeendelea kuimarisha sekta ya viwanda nchini...
REA YASHIRIKI MBIO ZA MWENGE WANGING’OMBE, YASAMBAZA MITUNGI YA GESI KWA BEI YA RUZUKU
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeshiriki katika sherehe za Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 zilizofanyika Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, ambapo umesambaza...
MAUZO YA BIDHAA NJE YAFIKIA DOLA BILIONI 10
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema biashara ya Tanzania na mataifa ya nje imeendelea kuimarika huku thamani ya mauzo ya bidhaa nje...
RAIA WA IRAN AHUKUMIWA MIAKA 60 JELA KWA KUSAFIRISHA HEROIN NA METHAMPHETAMINE
Raia wa Iran, Jan Mohammed Millan, aliyekuwa nahodha wa jahazi la Al Arab, amehukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 60 jela baada ya kupatilana...
WAHASIBU, WACHUMI WATAKIWA KUFUATA SHERIA KUEPUKA UDUKUZI WA MIFUMO
Arusha
Wahasibu na wachumi wametakiwa kujijengea nidhamu ya kitaaluma kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa ili kujiepusha na vitendo vya udukuzi wa mifumo ya...
KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI DUNIANI MKOANI TABORA
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi leo Mei 21, 2026 amekagua maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani yanayotarajiwa ...













