Tuesday, March 3, 2026
Home 2025 March

Monthly Archives: March 2025

SERIKALI KUJENGA MTANDAO MKUBWA WA MABOMBA YA GESI – DKT. BITEKO

0
📌 Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa wananchi 📌 Afanya mazungumzo na Kampuni ya Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule- Mbagala 📌 Aikaribisha Kampuni ya...

RAIS DKT SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGEZI WA UNESCO IKULU JIJINI DAR ES...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuatana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa...

TANZANIA NA USWISI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI

0
Tanzania na Uswisi zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji, ili kukuza uchumi wa mataifa hayo mawili. Haya yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara,...

UMEME NI NISHATI NAFUU ZAIDI JIKONI – MHA. GISSIMA*

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema umeme ni nishati nafuu zaidi kupikia na kuwahimiza Wanzania kutumia fursa ya...

MAMA SAMIA LEGAL AID YAFANIKISHA MALIPO YA MISHAHARA ALIYODHULUMIWA

0
Wananchi wameendelea kunufaika kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid, ambapo mfanyakazi wa nyumbani, Anitha Gabriel, hatimaye amepata...

KOREA KUSINI YAUNGA MKONO MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
📌 Rais Samia apongezwa kuwa Kinara wa Nishati Safi 📌 Dkt. Biteko asisitiza ushirikiano wa Serikali, Sekta Binafsi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...

DKT.MPANGO ATAKA AFRIKA KUBUNI NJIA BORA UENDELEZAJI RASILIMALI ZA NISHATI ILI KUKIDHI MAHITAJI

0
📌 Asema upatikanaji wa Nishati Afrika bado ni mdogo kulinganisha na Mabara mengine 📌 Asisitiza uendelezaji wa vyanzo vya Nishati uzingatie mustakabali wa vizazi vijavyo 📌...

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA.

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga litakalokuwa na uwezo wa...

BMH YAPANUA HUDUMA ZA KIBINGWA KUTOKA 14 HADI 20 NA ZA UBINGWA WA JUU...

0
Na Deborah Lemmubi-Dodoma. MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof Abel Makubi amebainisha kuwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya sita huku wakitumia...

OPARESHENI KALI KUWASAKA WANAFUNZI AMBAO HAWAJARIPOTI KIDATO CHA KWANZA

0
Na Shomari Binda - Musoma MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa maagizo kwa wakuu wa Wilaya wote kuanzisha opresheni kali kuwatafuta wanafunzi...
💬
Support ✕