DKT. BITEKO AWATAKA WANAWAKE KUWA MABALOZI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
π Serikali kuwezesha Sera, Sheria kwa wawekezaji wa Nishati Safi ya kupikia
π Ahamasisha matumizi ya Nishati ya Safi ya kupikia nchini
πAmpongeza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO...
RC MTAMBI AAGIZA WEZI WA TAA ZA BARABARANI KUSAKWA NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kusakwa na kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria wezi wa taa za...
MHANDISI LWAMO:MAPATO SEKTA YA MADINI YAPANDA KUTOKA ASILIMIA 7.2 MWAKA 2021 HADI ASILIMIA 9...
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Ramadhani Lwamo leo hii ameeleza kuwa makusanyo ya maduhuli ya Serikali yamepanda kutoka Shilingi bilioni...
AFRIKA TUNAYAPA KIPAUMBLE MATUMIZI YA NISHATI SAFI ILI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI-DKT.BITEKO
π Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi
π Afungua Mkutano wa Awali EAPCE'25
π Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi...
KAMISHNA MKUU WA TRA AHIMIZA ULIPAJI KODI WA HIARI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri...
TANZANIA YAPOKEA FARU WEUPE KUTOKA AFRIKA KUSINI
β Lengo ni kuimarisha uhifadhi nchini
Na Happiness Shayo - Ngorongoro
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya...
VETA YATAMBUA UJUZI KWA WANAGENZI 214 WALIOPO KATIKA VYUO VYA KUREKEBISHA TABIA.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania (VETA) CPA Anthony Kasore amesema kuwa katika kipindi cha mwaka...
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
π Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake
π Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani...