NLD YAPULIZA KIPYENGA WAGOMBEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Na Boniface Gideon, HANDENI
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) , kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi...
KAMPENI YA MAMA SAMIA KUTOA MAWAKILI KUSIMAMIA KESI ZA WANANCHI MAHAKAMANI.
Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa...
JESHI LA POLISI MARA LATAMBUA MCHANGO WA ASKARI NA WADAU KATIKA ULINZI NA USALAMA
Na Shomari Binda – Musoma
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameongoza hafla ya Polisi Family Day ya mkoa wa Mara, iliyokwenda sambamba...
VIJANA WA KIKE FEDHA MNAZOPATA MZITUMIE PIA KATIKA UWEKEZAJI- MKURUGENZI UTAWALA NISHATI
📌 Asema inaongeza kujiamini
📌 Asema Wizara ya Nishati inaiishi kaulimbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2025
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati,...
WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KITAIFA CHA DIRA YA MAENDELEO 2050.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Kitaifa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, leo Machi 01,...