MIRADI YA KIMKAKATI INAENDELEA KUTEKELEZWA – KAZUNGU
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema kuwa Wizara ya Nishati itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya nishati nchini ili kuhakikisha...