DKT.MWINYI AZIHAMASISHA NCHI ZA EAC KUANZISHA MIFUKO YA MAENDELEO YA PETROLI
📌 Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia
📌 Afunga Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika Mashariki
📌...
TRA NA TFF WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwaajili ya kushirikiana kuhamasisha ulipaji Kodi wa...
THBUB YAUNGANA NA DUNIA KUTAMBUA MCHANGO WA WANAWAKE KUELEKEA MACHI 8,2025.
Na Deborah Lemmubi - Dodoma.
Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa katika kuelekea Maadhimisho ya Siku...
TUTAENDELEA KUTENGENEZA SERA RAFIKI KUVUTIA UWEKEZAJI SEKTA YA MAFUTA NA GESI ASILIA-KAMISHNA SHIRIMA
📌 Asema Sekta ya Mafuta nchini imeimarika
📌 Ataja miradi ya kimkakati ujenzi wa mabomba ya gesi na mafuta
Kamishna wa Petroli, Goodluck Shirima amesema kuwa,...
MTUHUMIWA MMOJA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI ARUSHA.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja...
FCC KUTOA ELIMU KWA UMMA KUHUSU HAKI ZA MLAJI
Tume ya Ushindani (FCC) imeanza maadhimisho ya Wiki ya Haki za Mlaji Duniani, tukio ambalo huadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Machi. Hapa nchini, kilele...