DKT.MPANGO ATAKA AFRIKA KUBUNI NJIA BORA UENDELEZAJI RASILIMALI ZA NISHATI ILI KUKIDHI MAHITAJI
📌 Asema upatikanaji wa Nishati Afrika bado ni mdogo kulinganisha na Mabara mengine
📌 Asisitiza uendelezaji wa vyanzo vya Nishati uzingatie mustakabali wa vizazi vijavyo
📌...
MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga litakalokuwa na uwezo wa...
BMH YAPANUA HUDUMA ZA KIBINGWA KUTOKA 14 HADI 20 NA ZA UBINGWA WA JUU...
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof Abel Makubi amebainisha kuwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya sita huku wakitumia...
OPARESHENI KALI KUWASAKA WANAFUNZI AMBAO HAWAJARIPOTI KIDATO CHA KWANZA
Na Shomari Binda - Musoma
MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa maagizo kwa wakuu wa Wilaya wote kuanzisha opresheni kali kuwatafuta wanafunzi...
“WATUMISHI WA TRA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUZINGATIA MAADILI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuendeleza...
PPRA YAWAJENGEA UWEZO WAKUU WA VITENGO VYA UNUNUZI NCHINI,MATUMIZI YA MFUMO WA NeST.
Na Deborah Lemmubi -Dodoma.
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Bwana Denis Simba ameahidi kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa...
MBUNGE MATHAYO KUKAMILISHA UJENZI OFISI YA CCM KATA YA KIGERA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa Jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ameahidi kukamilisha ujenzi wa ofisi ya Chama cha Mapinduzi Kata ya Kigera
Ahadi hiyo ameitoa...