“HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUFUTA MADENI YA KODI” – CG MWENDA
Kufuatia kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa...
SERIKALI KUJENGA MTANDAO MKUBWA WA MABOMBA YA GESI – DKT. BITEKO
📌 Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa wananchi
📌 Afanya mazungumzo na Kampuni ya Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule- Mbagala
📌 Aikaribisha Kampuni ya...
RAIS DKT SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGEZI WA UNESCO IKULU JIJINI DAR ES...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuatana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
TANZANIA NA USWISI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI
Tanzania na Uswisi zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji, ili kukuza uchumi wa mataifa hayo mawili.
Haya yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara,...
UMEME NI NISHATI NAFUU ZAIDI JIKONI – MHA. GISSIMA*
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema umeme ni nishati nafuu zaidi kupikia na kuwahimiza Wanzania kutumia fursa ya...
MAMA SAMIA LEGAL AID YAFANIKISHA MALIPO YA MISHAHARA ALIYODHULUMIWA
Wananchi wameendelea kunufaika kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid, ambapo mfanyakazi wa nyumbani, Anitha Gabriel, hatimaye amepata...
KOREA KUSINI YAUNGA MKONO MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Rais Samia apongezwa kuwa Kinara wa Nishati Safi
📌 Dkt. Biteko asisitiza ushirikiano wa Serikali, Sekta Binafsi
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...