Home Kitaifa RAIS DKT SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGEZI WA UNESCO IKULU JIJINI...

RAIS DKT SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGEZI WA UNESCO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuatana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay, wakati Mkurugenzi huyo alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!