TANZANIA KUADHIMISHA KITAIFA SIKU YA HAKI YA MTUMIAJI MJINI MOROGORO MACHI 15, 2025
Na Magrethy Katengu--Mzawa Media Dar es salaam
TANZANIA inatarajiwa kuungana na mataifa mengine Duniani kuadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani Machi 15, 2025 ambapo...
ACT KUBADILISHA MWELEKEO WA SIASA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa na Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema kuwa Halmashauri Kuu ya chama hicho...
KAPINGA AZINDUA NAMBA YA BURE YA HUDUMA KWA WATEJA WA TANESCO
📌Awapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure
📌Asema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja...
RC MTAMBI AHAMASISHA WANAWAKE KUKOPA MIKOPO ISIYO NA RIBA KWENYE HALMASHAURI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewahamasisha wanawake wajasiliamali kukopa mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwenye halmashauri.
Kauli hiyo imetolewa leo...