“ACHENI KUWAONA WAKAGUZI WA NDANI KAMA MAADUI” – WAZIRI SIMBACHAWENE
Na. Lusungu Helela - MWANZA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amewataka Watendaji Wakuu pamoja...