KAMPENI YA MTI WANGU BIRTHDAY YANGU YAFIKISHA MITI MIL 4.8.
Rai imetolewa kwa Wakazi wa Dodoma kuendelea kuhamasisha jamii kuhusu zoezi la kupanda miti ili kusaidia utunzaji wa Mazingira na kuendelea kupambana na mabadiliko...
TFRA YAJIVUNIA ONGEZEKO LA MBOLEA 612 KUTOKA MBOLEA 350, 2020/21.
Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Bwana Joel Laurent amesema moja ya mfanikio ya tasnia ya mbolea ni ongezeko la aina...
MWALIMU DINNA KANZA AIBUKA KIDEDEA KUWA MWENYEKITI KITENGO CHA WAALIMU WANAWAKE
Na Julieth Mkireri, Mzawa Media Kibaha
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mwanalugali Dinna Kanza ameibuka kidedea kuwa Mwenyekiti wa kitengo cha waalimu Wanawake Wilaya ya...
WANANCHI WAONYWA KUACHA KUFANYA SHUGHULI ZA UCHENJUAJI MADINI SEHEMU ZA VYANZO.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amewataka wananchi kuacha kufanya shughuli zinazohatarisha usalama wa vyanzo vya maji kama uchenjuaji wa madini karibu na...
TAZA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME KUSINI NA MAGHARIBI MWA TANZANIA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) unaohusisha...
SERIKALI YATENGA BILIONI 21.4 KWA FIDIA YA WANANCHI WA MRADI WA UMEME TAZA
Serikali imesema kuwa, itaukamilisha kwa wakatil mradi wa kuziunganisha na gridi ya Taifa mchi za Tanzania na Zambia (TAZA) unaohusisha ujenzi wa njia ya...
HUDUMA ZA YAS ZASOGEZWA STESHENI YA SGR DAR ES SALAAM , WAZINDUA DUKA LA...
Dar es Salaam, Machi 19, 2025 – Yas Tanzania imezindua rasmi duka lake jipya, SGR Yas Store, katika Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR)...