WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI IBADA YA SHUKRANI YA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU, HAYATI EDWARD LOWASSA, ASISITIZA...
Na Lusungu Helela-MONDULI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watanzania kumuenzi aliyekuwa Waziri...
MBUNGE GHATI CHOMETE AMUHAKIKISHIA WASIRA KURA ZA KISHINDO ZA RAIS DKT.SAMIA UCHAGUZI MKUU 2025
Na Shomari Binda-Serengeti
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete amemuhakikishia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Bara Stephine Wasira kura...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU ZAWADI NDANI YA BIDHAA ZA WALL PUTTY
Serikali, kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imepiga marufuku utaratibu wa wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa za Wall Putty kuweka zawadi, fedha taslimu, vocha,...
DKT. BITEKO AWAASA WAISLAMU KUENDELEA KUHIFADHI QUR’AAN TUKUFU
📌 Aipongeza Al- Hikma kwa kukuza Mashindano ya kuhifadhi Qur’aan Tukufu
📌 Mashindano ya Qur’aan Tukufu kufanyika mwezi ujao
📌 Mashindano ya Qur'aan Afrika yawa Mashindano...
KIBAHA: BARAZA LA MADIWANI LAAGIZA KUWAUA MBWA WASIO NA WALEZI
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wameiagiza Halmashauri hiyo kuwaua mbwa ambao hawana walezi kuepuka madhara ambayo yanaweza kutolea.
Wamefikia hatua hiyo...
” WASIRA”TUNAELEWA TATIZO LA BAJETI TANROADS KUKAMILISHA BARABARA ZA MKOA WA MARA
Na Shomari Binda-Rorya
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Bara Stephine Wasira amesema wanaelewa tatizo la ki bajeti kukamilisha ujenzi wa barabara za...
WALIPAKODI KATAVI WAKOSHWA NA UTENDAJI WA TRA WAMZAWADIA CG MWENDA
Walipakodi wa mkoa wa Katavi wameeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri...
WANANCHI UVINZA WAFUNGUKA UPATIKANAJI HUDUMA ZA AFYA
Na Fadhili Abdallah,Kigoma
WANACHI wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wamesema kuwa maboresho makubwa yaliyofanywa kwenye sekta ya afya wilayani humo ikiwemo ujenzi wa hospitali...
MAMA SAMIA LEGAL AID (MSLAC) YATOA ELIMU YA UMILIKI ARIDHI KWA WANANCHI
Na Ashrack Miraji
Mjumbe wa Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid (MSLAC) Bi.Angelina Sampa amesema mwanamke ana haki ya...
BUKOMBE YATEKELEZA ILANI YA CCM KWA KISHINDO
📌 Rais Samia aleta mapinduzi ya maendeleo Geita
📌 Rais Mstaafu Kikwete asema Watanzania wana deni kwa Rais Samia mwezi Oktoba
📌 Wanachama wa CCM waaswa...














