Tuesday, October 27, 2026
Home 2025 February

Monthly Archives: February 2025

WANAFUNZI UDOM WATAKIWANA KUELIMISHA KULINDA, UHIFADHI, WA MALIKALE NA TAMADUNI

0
Na Hamida Ramadhan,Mzawa Media Dodoma WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wanaosomea masomo ya Historia na Malikale wametakiwa kutoa elimu kwa jamii inayowazunguka katika...

MADAKTARI BINGWA WA MACHO TOKA BUGANDO KUTOA HUDUMA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE KUANZIA FEBRUARI...

0
Na Shomari Binda-Musoma MADAKTARI bingwa wa macho kutoka hospitali ya Kanda ya Bugando Mwanza wataweka kambi ya siku 5 mjini Musoma kwenye hospitali ya Kumbukumbu...

RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI EAC NA SADC JIJINI DAR...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...

BUNGE LAIPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

0
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio iliyoyapata katika kukuza utalii huku likiipitisha taarifa ya kamati...

DC SAME AAGIZA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOKUSANYA MAPATO KUBORESHA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA...

0
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amezitaka taasisi za serikali zinazokusanya mapato kupitia utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi ndani ya kubuni...

CG MWENDA APITA MLANGO KWA MLANGO KUZUNGUMZA NA WALIPAKODI IGUNGA

0
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa ziarani wilayani Igunga mkoani Tabora February 06 mwaka huu amepita mlango...

MAGIRI AKUSUDIA GROUP LA JAMII YA WANA MUSOMA KUWA NA MALENGO MAKUBWA ZAIDI YA...

0
Na Shomari Binda – Musoma MWENYEKITI wa kundi la WhatsApp la jamii ya Wana Musoma, Benedict Magiri, amesema kuwa kusudi lake pamoja na viongozi wenzake...

RAMADHANI MSOMI AWAPONGEZA VIONGOZI WA GROUP LA KIJAMII LA WANAMUSOMA KWA KUWAUNGANISHA WATU

0
Na Shomari Binda – Musoma MKURUGENZI wa Hoteli ya Le Grand Victoria ya mjini Musoma, Ramadhani Msomi, amewapongeza viongozi wa kundi la WhatsApp la Jamii...

WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA

0
Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kulipa Kodi kwa hiari na kuwafichua Wafanyabiashara wanaokwepa Kodi. Wakizungumza kwa nyakati...

KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UHURU WILAYANI URAMBO KIMEKAMILIKA – KAPINGA

0
📌 Kinalenga kuboresha hali ya upatikanaji umeme Urambo na maeneo mengine Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na...