Thursday, June 25, 2026
Home 2025 January

Monthly Archives: January 2025

DKT. JAFO AELEKEZA BODI YA CAMARTEC KUZUIA HATI CHAFU NA KUSIMAMIA FEDHA KWA USAHIHI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt.Selemani Jafo ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kuleta mabadiliko zaidi...

TANZANIA, UN TOURISM ZASAINI MAKUBALIANO YA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII WA VYAKULA BARANI...

0
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania...

MKUU WA WILAYA YA SAME AWATAKA WANAFUNZI KUJIEPUSHA NA VITENDO VYA MMOMONYOKO WA MAADILI.

0
Ashrack Miraji Mzawa Online Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amewataka wanafunzi wa shule za sekondari wilayani humo kujiepusha na vitendo...

KUELEKEA MKUTANO WA M300: TANZANIA YAWEKA HISTORIA UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI

0
📌Watanzania asilimia 78.4 wameunganishwa na umeme 📌Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 100 📌Vitongoji 33,657 vimefikiwa 📌Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 📌Rais Samia kinara wa matumizi ya...

WANANCHI KATA YA KAMNYONGE WAMUOMBA DC CHIKOKA KULIFUNGUA SOKO LAO

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI wa Kata ya Kamnyonge manispaa ya Musoma wamemuomba mkuu wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka kufanya jitihada ya kufungua soko lao. Wakitoa...

TMA YATOA TAARIFA MWELEKEO MSIMU WA MVUA ZA MASIKA MACHI- MEI,2025

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za Masika zinatarajiwa kuanza mwezi Machi 2025 katika maeneo yanayopata misimu...

HAKUNA MAELEKEZO YA KULINDA WAKWEPA KODI – RAIS SAMIA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka Walipakodi nchini kuendelea kulipa kodi kwa hiari na kuacha vitendo vya...

MWANANYANZALA APIGIA DEBE UTEUZI WA RAIS SAMIA KWA UCHAGUZI MKUU

0
Mwanachama wa Yanga na mdau wa soko, Hussein Makubi Mwananyanzala, ameonyesha furaha yake kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kwa hatua yao ya...

BILIONI 6.2 KUANZA KULIPWA KWA WANANCHI 595 KUPISHA MRADI WA KIMKAKATI

0
Serikali imeagiza kuwa zoezi la ulipaji fidia ya sh, bilioni 6.2 kati ya sh, bilioni 14.48 kwa Wananchi 595 kutoka vijiji vinne vya Engaruka...