Thursday, June 25, 2026
Home 2025 January

Monthly Archives: January 2025

SHULE YA KWANZA YA GOROFA YA SEKONDARI KUJENGWA KATA YA KIGERA MANISPAA YA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma SHULE ya kwanza ya sekondari ya gorofa itaanza kujengwa hivi karibuni Kata ya Kigera manispaa ya Musoma. Ujenzi huo utaanza baada ya hii...

WATOTO WALIOIBIWA WAKUTWA KWA MGANGA WA KIENYEJI

0
Na Magrethy KatenguDar es salaam Watoto wawili Mahdy Kasim(me) Umri 04 na Husna Kasim(ke) 05 walioibiwa na binti wa kazi za ndani Januari 11, 2025...

CCM MUSOMA MJINI YAMPONGEZA RAIS DKT.SAMIA UTOAJI FIDIA BILIONI 3.9 KWA WANANCHI

0
Na Shomari Binda-Musoma CHAMA cha Mapinduzi( CCM) Wilaya ya Musoma mjini kimempongeza na kumshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kiasi cha biliini 3.9...

DKT KAZUNGU ATETA NA BALOZI WA TANZANIA ABU DHABI

0
📌 Anadi miradi ya nishati kuvutia wawekezaji kutoka Abu Dhabi 📌 Ashiriki hafla ya ufunguzi wa Wiki ya uendelezaji Nishati Abu Dhabi na utoaji tuzo...

DC SAME AAGIZA KUKAMATWA KWA WAHUSIKA WALIOWAPA MIMBA WANAFUNZI WANNE WA SHULE ZA MSINGI...

0
Na Ashrack Miraji Mzawa Online Media Kufuatia taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi na sekondari katika kata za Kalemawe...

TMA YATOA TAARIFA UWEPO WA KIMBUNGA “DIKELEDI” KATIKA BAHARI YA HINDI MWAMBAO WA PWANI...

0
Na Mwandishi Wetu-media Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “DIKELEDI” katika Bahari ya Hindi mwambao...

CBT YAWANOA MAAFISA UGANI WAKAFUFUE ZAO LA KOROSHO PWANI

0
Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Khadija Nasri Ally amewataka maofisa ugani walioajiriwa na bodi ya korosho Tanzania CBT kutoa elimu kwa Wakulima wa zao...

DIWANI ASHA MUHAMED AONGOZA WANAWAKE WA KIISLAM MUSOMA ISTIQAMA KUSAIDIA WATOTO

0
Na Shomari Binda-Musoma DIWANI wa viti maalum manispaa ya Musoma na mjumbe wa kikundi cha wanawake wa kiislam Istiqama Asha Muhamed ameongoza utoaji msaada kituo...

MALIASILI, MAMBO YA NDANI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKUZA UTALII

0
Na Happiness Shayo-Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii...

HOSPITAL YA MWALIMU NYERERE YATAJWA ENEO LA USALAMA WA TAIFA KWA KULINDA AFYA ZA...

0
Na Shomari Binda-Musoma HOSPITAL ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo Musoma imetajwa kama eneo la Usalama wa Taifa kwa kulinda afya za wananchi. Kauli...