Home 2024
Yearly Archives: 2024
TANZANIA NA KOREA KUSINI ZAKUBALIANA KUBORESHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA
Imeelezwa kuwa ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Korea Kusini umechochea kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini ikiwemo mradi...
MKURUGENZI SINGIDA APEWA SIKU 5 KULIPA DENI LA TSH MILIONI 29.2
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Singida Mjini...
HAKUNA MWANANCHI WA NGORONGORO ATAKAYEKOSA HAKI YAKE-RC MONGELLA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mheshimiwa John Mongella amewahakikishia wananchi wanaohama kwa hiari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo mengine nje ya...
MAKONDA AMBANA WAZIRI WA FEDHA KUHUSU MIKOPO YA KAUSHA DAMU
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Paul Christian Makonda mbele ya Wananchi wa Singida wakati anasikiliza kero...
GST, TFRA NA TFC YASAINI HATI YA MAKUBALIANO MKAKATI WA KUZALISHA MALIGHAFI YA MBOLEA
Mbolea kuzalishwa nchini kwa kutumia Malighafi za ndani
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imesaini hati ya makubaliano (MoU) na Mamlaka ya...
TIGO WALIVYOVUNJA REKODI 2023 , SHUHUDIA HAPA WAKIPOKEA TUZO YA MTANDAO WENYE SPIDI ZAIDI...
Na Mwandishi Wetu.
Afisa Mkuu wa Ufundi wa Tigo, Emmanuel Malya akipokea Tuzo ya Ookla® Speedtest™ kama Mtandao wa Simu wenye kasi zaidi nchini Tanzania...
AMUUA MKE WAKE SHAMBANI WILAYANI BUNDA KWA WIVU WA MAPENZI
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara linamshikilia Muyengi Ruben mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Kijiji cha Namhula wilayani Bunda kwa kumuua...
MAABARA NANE ZA TBS ZAPATA VYETI VYA UMAHIRI KUTOKA SADCAS
TAASISI ya Ithibati ya Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADCAS) imethibitisha na kuzipatia vyeti vya umahiri maabara 8 za Shirika la Viwango...
FANYA HAYA KUSHINDA MAMILIONI YA FEDHA ZA TIGO MAGIFTI DABO DABO
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani-Vijijini Aidan Komba (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano, Hamisa Clement mkazi wa Kilosa aliyejishindia kupitia...
TIGO ZANTEL WAZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar,Mahmoud Mohammed Musa(katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja zanzibar, pembeni yake...













