Thursday, June 25, 2026
Home 2024

Yearly Archives: 2024

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiwe na Miradi yake Binafsi

0
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi mkoani Mwanza Marco Lushinge maarufu kwa jina la Smart amesema anatamani kuona jumuiya za chama hicho mkoani humo zinajitegemea...

KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI APOKELEWA PWANI KWA MKUTANO WA KIKAZI

0
NA SCOLASTICA MSEWA, KIBAHAKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa chama hicho wanatakiwa kufanana na Chama chao...

TANROADS YAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA YA KUNDUCHI MTONGANI NDANI YA MASAA 48

0
Na Magrethy Katengu Tanroad imefany jitihada za haraka kurejesha mawasiliano barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya masaa 48 baada ya Daraja la Tegeta kingo zake...

RC MTANDA ATOA TAHADHARI KWA WATAKAOENDELEZA KILIMO CHA BANGI WILAYANI TARIME

0
OPARESHENI KALI KUENDELEA Na Shomari Binda-Tarime MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa tahadhari kwa wananchi watakaoendeleza kilimo cha zao haramu la bangi wilayani Tarime. Akizungumza...

RAIS KUFANYA ZIARA YA KIKAZI INDONESIA, VATICAN, NA NORWAY

0
Na Magrethy Katengu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara katika Nchi za Indonesia, Vatican na Norway ikiwa...

MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO WA G77 NA CHINA, KAMPALA, UGANDA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 21, 2024 amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77na China uliofanyika jijini Kampala...

MAKONDA AMEBAINISHA UWEPO WA HOSPITAL YA RAIS SAMIA WILYANI MUHEZA ITATATUA CHANGAMOTO YA HUDMA...

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa , Itikadi,Uenezi na Mafunzo Paul Makonda amewabainishia Wananchi wa Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga...

MAKONDA AMTAKA MKUU WA MKOA TANGA AWACHUKULIE SHERIA WATUMISHI WAZEMBE

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa , Itikadi,Uenezi na Mafunzo Paul Makonda amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Tanga pindi anapoubaini...

Serikali yaahidi kuendelea kurejesha hali katika miundombinu ya barabara iliyoathirika na Mvua

0
Na Mwandishi wetu Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe, Ummy Nderiananga amepongeza Kamati ya Maafa ya Mkoa wa...

MBUNGE MATHAYO KUBEBA DHAMANA YA MKOPO WA PIKIPIKI 160 KWA BODABODA JIMBO LA MUSOMA...

0
-KUANZA NA MILIONI 24 AWAMU YA KWANZA Na Shomari Binda-Musoma KATIKA kuendelea kuwawezesha vijana kiuchumi mbunge wa jimbo la Musoma mjini amekuja na mpango wa kuwawezesha...