Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 April

Monthly Archives: April 2023

WAZIRI MKUU:SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA UWEKEZAJI 537.

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali ilisajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye thamani...
TIGO, WATEJA, TUNDURU

TIGO WAFUTURISHA WATEJA TUNDURU

0
Samwel Chanai-Meneja Mauzo wa Tigo Mkoa wa Iringa akiteta jambo na Mwangaza Matotola-Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja (TIGO)  katika hafla ya iftar...
AJIRA

Serikali kuhakikisha miradi ya mazingira inatekelezwa kwa viwango

0
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuhakikisha miradi ya mazingira katika maeneo mbalimbali nchini inatekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa ili iwanufaishe wananchi...

TAASISI MBILI ZA ELIMU ZAPATA MSAADA WA DOLA 20,000 KUTOKA SHIRIKA LA NVEP KWA...

0
Meneja wa Barrick Nchini Tanzania, Melkiory Ngido(kulia) akikabidhi hundi ya dola za Kimarekani milioni 10 kwa Mkurugenzi wa mipango kutoka taasisi ya TanSAF ,Alex...

NCT NA DMI WAINGIA MAKUBALIANO YA KUTOA MAFUNZO KWA MABAHARIA

0
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Dkt. Florian Mtey (kulia) na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)...

MASHIRIKA YA UMMA YATAKIWA KUJIENDESHA KWA FAIDA.

0
Na Beatrice Sanga-MAELEZO SERIKALI imesema kuwa itahakikisha Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyopo chini ya Ofisi ya Msajili wa Hazina yanajiendesha kwa faida katika shughuli...

SHIRIKA LA BIMA LA CHINA’ (SINOSURE) LAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA

0
Na. Joseph Mahumi, WFM, Dar es Salaam Shirika la Bima la China - (CHINA EXPORT AND CREDIT INSURANCE CORPORATION (SINOSURE), imeahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na...

KATIBU MKUU JAMAL KATUNDU AONGOZA KIKAO CHA USHIRIKIANO BAINA YA OFISI YA WAZIRI MKUU...

0
Na; OWM – KVAU: DAR ES SALAAM Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu ameongoza kikao cha majadiliano kati ya...

UIMARISHWAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA

0
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu leo amekutana na wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala wa Serikali ili...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA