Friday, June 26, 2026
Home 2024

Yearly Archives: 2024

UTUNZAJI KUMBUKUMBU KURAHISISHA MALIPO YA BIMA

0
Na. Khadija Ibrahim, WF, Dodoma Serikali imewataka wananchi kutunza kumbukumbu na nyaraka muhimu za rejea ili kuondoa usumbufu na kurahisisha zoezi la ulipaji fidia hususan...

AUA MTOTO WA MIEZI 3 KWA KUMCHOMA KISU,NAE AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI

0
-AMCHOMA PIA MAMA NA BIBI WA MTOTO Na Shomari Binda-Musoma MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Muha mkazi wa Kijiji cha Busekera Musoma vijijini amemua...

WATUMIAJI WA BARABARA WASHAURIWA KUTOTUMIA VIVUKO VILIVYOZUILIWA

0
Watumiaji wa barabara mkoani Dar es Salaam wameshauriwa kutotumia barabara au vivuko ambavyo vimewekwa vizuizi katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha nchini. Wito huo...

LIONS CLUB IMETOA MSAADA WA MATANKI YA MAJI KWA SHULE ZA KATA

0
TAASISI ya Lions Club imetoa msaada wa matanki nane ya kuhifadhia maji kwa ajili ya shule za Kata ya Vigwaza Halmashauri ya Chalinze. Akisoma taarifa...

Afrika Tumieni vema Fursa za soko la AfCFTA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) na Mwenyekiti wa Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara Mkataba wa Eneo Huru...

VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM VYAENDELEA KUSAMBAZWA

0
Na Shomari Binda-Musoma VITABU vinavyoelezea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi kwenye jimbo la Musoma vijijini vimeendelea kusambazwa ili kusoma utekelezaji uliofanyika. Vitabu...

JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LAWARUDISHA WATOTO WA MTAANI KWENYE FAMILIA ZAO

0
Na Shomari Binda-Musoma JESHI la Polisi mkoani Mara kupitia dawati la jinsia wanawake na watoto wilaya ya Musoma limefanikiwa kuwatoa watoto wa mtaani 26 na...

HAIPPA PLC TANZANIA YATOA ELIMU YA BIASHARA

0
Na Shomari Binda-Musoma KAMPUNI ya umma ya iliyojikita kufanikisha biashara,uwekezaji na masoko ya Haippa PLC Tanzania imekusudia kuendelea kutoa elimu kwa watanzania waielewe na kuitumia...

TUITUMIE WIKI YA SHERIA KUPATA MSAADA WA KISHERIA ” JAJI MTULYA”

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI mkoani Mara wametakiwa kuitumia wiki ya sheria kufika kwenye mabanda uwanja wa shule ya msingi Mukendo kupata msaada wa kisheria Wiki hiyo...

TIMU YA EWURA YAFIKA MASWA KUTATHMINI BEI YA MAJI BAADA YA SIMU YA MAKONDA...

0
Leo tarehe 30 June 2024 Team ya watalamu kutoka EWURA imefika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kufuatilia na kufanya tathmini ya kina juu ya...