Home 2024
Yearly Archives: 2024
TIGO KUTOA MAGARI MAWILI NA MAMILIONI KWA WATEJA WAKE MWEZI HUU , SOMA HAPA...
Washindi wakiwa mfano wa hundi ya pesa walizojishindia wapili kulia ni Ismail Rashid aliyejishindia vifaa vya Hisense na kushoto ni baba yake mdogo aliyemchagua...
MWENEZI MAKONDA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBONDO, APOKEA MALALAMIKO YA CHANGAMOTO YA MAJI
Katibu wa Halamshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Kibondo Mkoani...
MAKONDA AUNGURUMA KASULU VIJIJINI , ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Kasulu Vijijini...
MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA DHARURA WA SADC
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa dharura wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
SHIRIKA LA KISERIKALI LA CTG – CHINA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTANGAZA UTALII
Na Happiness Shayo
Shirika la Kiserikali la China linalosimamia utangazaji wa utalii na uwekezaji (China Tourism Group - CTG) limeonesha nia ya kutaka kutangaza vivutio...
TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili imetumia...
VILABU SABA KUTOKA MASHIRIKISHO YA USALAMA BARABARANI KIMATAIFA VYASHIRIKI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI
TAKRIBANI Nchi 07 za Afrika za hudhuria Mafunzo ya Usalama Barabarani yaliyoandaliwa na Shirikisho la Kimataifa Usalama Barabarani (ACTA) kwa siku 3 yenye lengo...
HII HAPA FURSA KWA WAKULIMA NCHINI , MKATABA HUU WA TCDC NA TIGO PESA.
Afisa Mkuu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha (Kushoto) akiwa na Mrajisi wa Chama cha Ushirika na Mkurugenzi Mtendaji wa TCDC, Dk. Benson Ndiege kuonyesha...
WASANII KUTOKA MATAIFA 8 KULIPAMBA TAMASHA LA PASAKA
Kuelekea Tamasha la Pasaka mwaka 2024 Alex Msama Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion waandaaji wa Tamasha hilo amethibitisha waimbaji wa muziki wa injili...
“OBAMA” ASISITIZA UMUHIMU WA UHIFADHI WA MAZINGIRA KWA KUPANDA NA KUTUNZA MITI
Na Shomari Binda-Butiama
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Butiama Baraka Imanyi maarufu "Obama" amesema kuna umuhimu mkubwa kupanda na kutunza miti kwa uhifadhi...













