Friday, June 26, 2026
Home 2024

Yearly Archives: 2024

KUELEKEA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA WANACCM WAANZA KUJIPANGA

0
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwinyishehe Mlao amewataka wanaCCM kujenga Umoja na msikamano kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji Hadi uchaguzi...

“DAMU CHAFU” IMEMALIZWA KATAVI.

0
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amekiambia Chama Cha Mapinduzi kuwa ndani ya miezi minne wamefanikiwa kutokomeza kundi la uporaji na...

KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO.

0
MAKAMU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema iliyooneshwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutaka maridhiano inapaswa kuendelezwa...

CCM ITAENDELEA KUSHIKA DOLA KWA KAZI NZURI ILIYOFANYA – NANCY

0
YAAHIDI KULETA MGOMBEA SAFI KATA YA BUSEGWE Na Shomari Binda-Butiama CHAMA cha Mapinduzi "CCM" kimetajwa kuendelea kushika dola na kuiongoza Tanzania kutokana na kazi nzuri iliyofanya...

ABDULRAHMAN KINANA AJITOKEZA HADHARANI KUTETEA BUSARA NA HEKIMA ZA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN

0
Na Magrethy Katengu Makamu Mwenyeki Taifa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana amekishauri Chama cha Upinzani wasiwe watu wa kukosoakosoa tu bali wamfikiria Rais Dkt....

MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM//MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3

0
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili...

RC MTANDA AWATAKA WATAALAM KUYATUMIA VIZURI MATOKEO YA SENSA YA MWAKA 2022

0
-AWAOMBA WANAWAKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA 2025 Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewataka wataalam kwenye wilaya na halmashauri zote kuhakikisha wanatumia...

USAMBAZAJI MAJI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KUANZA MWEZI UJAO

0
Na Shomari Binda-Musoma MIRADI ya usambazaji maji kwenye maeneo mbalimbali ya jimbo la Musoma vijijini inatarajiwa kuendelea mapema mwezi ujao. Miradi itaendelea kwenye maeneo hayo kutokana...

TANZANIA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIVUKO KUHAKIKISHA USALAMA BARABARANI

0
VILABU vya Kimataifa vya Usalama barabarani (ACTA) yafunga mafunzo yaliyofanyika kwa siku tatu, jijini Dar es Salaam huku wakihaidi kuboresha Miundombinu barabara korofi karibu...

“UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’ KUZINGATIA UBORA NA VIWANGO” DKT. YONAZI

0
NA. MWANDISHI WETU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa nyumba zinazotarajiwa kujenga kwa...