Friday, June 26, 2026
Home 2024

Yearly Archives: 2024

KILANGO AWATAKA VIONGOZI SAME KUSHIRIKIANA KULETA MAENDELEO

0
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mkoani kilimanjaro, Anne Kilango amewataka viongozi jimboni hapo kushirikiana kwa pamoja kusimamia miradi ya maendeleo...

WAZIRI KAIRUKI AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA NA KUTOA ELIMU KWA JAMII ILI KUWEZESHA UHIFADHI...

0
Na Mwandishi wa NCAA, Babati Manyara. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa mwelekeo wa serikali kwa sasa ni kujikita katika...

WIMBI LA WANANCHI KUHAMA NDANI YA HIFADHI YA NGORONGORO LAPAMBA MOTO

0
Ngorongoro, Arusha. Katika hali inayoonesha kuwa wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro wamepuuza ushawishi wa baadhi ya watu wanaotaka wasiondoke katika eneo hilo, leo tarehe 3...

OMAN NA TANZANIA ZAKABIDHIANA VIFAA VYA UHIFADHI WA MIKUSANYO YA KIMAKUMBUSHO

0
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameshuhudia makabidhiano ya vifaa vya awali kati ya Makumbusho ya...

TIGO WAMWEZESHA MTEJA WAO KUJENGA NYUMBA YA KISASA , WATATOA MAGARI PIA… SOMA HAPA

0
Na Mwandishi Wetu. Februari , 06 , 2024  Salim Ndaro Mfanya Biashara ndogondogo za kuuza matunda Mkoani Tanga  anaenda kutimiza ndoto yake ya kujenga Nyumba...

TANZANIA KUJENGWA MTAMBO MKUBWA WA UCHENJUAJI MADINI YA KINYWE.

0
●Mtambo wa Uchenjuaji ulianza kujengwa 2022 ●Utazalisha Madini kinywe yenye ubora wa asilimia 97. ●Majaribio ya uzalishaji yataanza rasmi mwezi machi 2024. Na.Samwel Mtuwa - MoM Tanzania imebarikiwa...

CCM Mwanza waadhimisha miaka 47 kwa kishindo

0
Na Neema Kandoro Mwanza Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza wameadhimisha miaka47 Kwa kupokea wanachama wapya kutoka vyama pinzani lkn pia na...

KAMPUNI YA PREZIDAR YAFIKISHWA KIZIMBANI TUHUMA ZA KUHUJUMU MAPATO YA SERIKALI

0
Na Magrethy Katengu TAKUKURU Kinondoni kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo katika kipindi cha miezi miatatu Octoba hadi Desemba 2023...

KAMA UTANI : TIGO WAINOGESHA AFCON , WAPELEKA WATEJA WATANGAZA KUENDELEA KUMWAGA MAMILIONI

0
Dickson Masoud Michael Mkazi wa Arusha , George Peter Dilunga - Tanga , Enock Ernest Charles - Zanzibar na Deodatus Damas Sagamiko - Dar...

SASA UNAWEZA KUPATA MKOPO WA NYUMBA , ABSA BENKI MWANAHISA MPYA TMRC

0
 Na Mwandishi Wetu. TAASISI Maalum ya kifedha inayotoa mikopo ya muda mrefu kwa benki na taasisi za fedha kwa lengo la benki hizo na taasisi...