Friday, June 26, 2026
Home 2024

Yearly Archives: 2024

DC MGENI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA SAME

0
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameongoza wakazi wa wilaya hiyo katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria wilayani humo na kusisitiza...

NYIHITA AWATAKA MAAFISA TEHAMA CCM MARA KUSAJILI WANACHAMA SAHIHI

0
Na Shomari Binda-Musoma MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mara na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Nyihita Nyihita...

TANESCO YAZINDUA MPANGO WA MIAKA 4 KUONGEZA IDADI YA WAHANDISI WANAWAKE

0
Na Magrethy Katengu Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO) limesema litahakikisha linaongeza jitihada ya kuongeza idadi ya Wahandisi Wanawake katika fani hiyo ili kusaidia utekelezaji wa...

PROF. MDOE AFANYA ZIARA DIT , KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI...

0
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Sayansi) Prof.James Mdoe ametembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha kufundishia Umahiri wa Tehama katika...

TBS YASHIRIKI NA KUTOA ELIMU MAONESHO YA BIASHARA YA GHANA EXPO 2024

0
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki Maonesho ya GHANA TRADE EXPEDITION TO TANZANIA ( GHANA EXPO ) kama mwalikwa Maonesho ambayo yamelenga...

MAWAZIRI WA NISHATI TANZANIA, ZAMBIA WAJADILI UJENZI WA BOMBA JIPYA LA MAFUTA

0
📌Ni la Mafuta Safi kutoka Dar es Salaam hadi Ndola Zambia 📌Dkt. Biteko asema pia litanufaisha mikoa ya kusini 📌Zambia yasema ipo tayari kutekeleza mradi huo 📌Timu...

MWENEZI MAKONDA ATOKWA NA MACHOZI

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametokwa na machozi mara baada ya kusikia malalamiko...

SHIRIKA LA NDEGE LA AIR FRANCE WATANGAZA KUFANYA MAGEUZI MAKUBWA KATIKA HUDUMA 2024

0
Mkurugenzi Mkuu wa Air France KLM kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini, Nigeria, na Ghana, Marius van der Ham, akitoa hotuba yake katika...

KAMPUNI YA ORYX GAS TANZANIA KUFUNGA MFUMO WA GESI SHULE YA SEKONDARI MINAKI

0
Na Mwandishi Wetu, Kisarawe KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk.Selemani Jafo...

SHIVYAWATA WALIA NA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZINAZOWAKABILI.

0
Theophilida Felician Kagera. Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu SHIVYAWATA Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera waelezea changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo watu wenye ulemavu katika...