BILIONI 5.7 KUUNGANISHA KIJIJI CHA KAPETA NA LANDANI KWA LAMI
Ileje, Songwe
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwira–Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5...
SERIKALI YAPOKEA CHANGAMOTO ZA WACHIMBAJI WANAWAKE
Kuandaa Mkakati wa Uwezeshaji Wanawake
Kupewa leseni za maeneo yenye taarifa za Utafiti
Serikali kupitia Wizara ya Madini na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wanawake...
MAFIA NDIO KITIVO CHA MAZALIA YA SAMAKI DUNIANI
Mkuu wa kitengo Cha kilimo biashara wa Bank ya NMB makao makuu Nsolo Mlozi amesema Bank ya NMB imefanya mabadiliko makubwa kwa kuanza kutoa...
CHANDI MAGIRI KUNOGESHA FAINALI MATHAYO CUP 2024 UWANJA WA MARA SEKONDARI
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Patrick Chandi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya mashindano ya Mathayo Cup...
DC BUKOBA APONGEZA UJIO WA GAZETI LA MONTESSORI TANZANIA ASEMA LITAKUWA MSAADA MKUBWA KATIKA...
Na Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa wilaya Bukoba Mhe Erasto Sima apongeza ujio wa gazeti la MONTESSORI TANZANIA Mkoani Kagera chini ya Mkurugenzi wake Bi...
WAJUMBE UWT WILAYA YA SERENGETI WAHUDHURIA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR NA KUJIFUNZA
Na Shomari Binda
WAJUMBE wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamehudhuria kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar na kupata mafunzo.
Ugeni huo...
WADAU WATAKIWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA...
Na Shomari Binda-Musoma
WADAU na mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kutenga fedha kwenye bajeti zao kwaajili ya makuzi na malezi ya mtoto.
Kauli hiyo imetolewa na...
MAONESHO YA BIASHARA YA TANGA WOMAN GALA YAZINDULIWA RASMI
Na Shafii Mohammed, TANGA
Maonyesho ya Biashara yanayoshirikisha Wanawake Wajasiriamali maarufu Tanga Woman Gala msimu wa sita yamezinduliwa rasmi ambapo zaidi ya Wafanyabiashara 100 kutoka...
CHANDI MAGIRI KUNOGESHA FAINALI MATHAYO CUP 2024 UWANJA WA MARA SEKONDARI
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Patrick Chandi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya mashindano ya Mathayo Cup...
BRELA YAWAFURAHISHA WAFANYABIASHARA MAONESHO YA SITA YA MADINI GEITA
Afisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni ( BRELA ) Vincent Nyanje ( kulia ) akimkabidhi cheti Cha usajili wa jina la...












