Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 September 19

Daily Archives: September 19, 2023

KANAL THOMAS, WITO, GST

KANAL THOMAS ATOA WITO KWA GST KUSOGEZA HUDUMA ZA MAABARA RUVUMA

0
Amepokea Vitabu vya Madini yapatikanayo Tanzania kwa shangwe Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas ametoa wito kwa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa...
NAIMA MINGA, TENA, KUWA

NAIMA MINGA ACHAGULIWA TENA KUWA NAIBU MEYA MANISPAA YA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma wamemchagua diwani wa viti maalumu Naima Minga kuwa Naibu Meya manispaa ya Musoma. Naima...
DADA, CHAI, MOTO

DADA WA KAZI AUNGUZWA KWA CHAI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE KWA TUHUMA ZA...

0
DADA wa kazi za ndani Filomena Erick (17) amejeruhiwa na mwajiri wake Janeth Dominick (26) kwa kumwagia chai ya moto kwa tuhuma za kuiba...
KUJIFUNZA UONGEZAJI, KONGO, THAMANI

DRC KONGO KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI TANZANIA

0
Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi...
WIZARA, MALIASILI, CHANGAMOTO

WIZARA YA MALIASILI YAENDELEA KUKAKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU

0
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Wizara ya Maliasili na Utalii imeshiriki kwenye kikao cha kuandaa machapisho yatakayotumika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na...
TBS, ELIMU, UMMA

TBS ELIMU KWA UMMA YAZIFIKIA WILAYA ZA MKOA WA TABORA

0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaendelea na Kampeni yake Ya kutoa Elimu Kwa Umma katika Ngazi za Wilaya ambapo hadi sasa Shirika hilo limetoa...
MKOA, NJOMBE, UNAONGOZA

MKOA WA NJOMBE UNAONGOZA KWA IDADI KUBWA YA MADINI MKAKATI NCHINI

0
Mtaka apokea Kitabu cha madini yapatikanayo Tanzania Utafiti wa awali uliofanywa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ulibaini kuwa Mkoa wa...
TAASISI, MWALIMU, NYERERE

TAASISI YA MWALIMU NYERERE YAWAKUMBUSHA VIJANA KILIMO CHA MANUFAA

0
Na Shomari Binda-Musoma TAASISI ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere imewakumbusha vijana kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo ili kuweza kupata manufaa. Kauli hiyo imetolewa na Katibu...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA