JUMUIYA YA MARIDHIANO YAKEMEA UVUNJIFU WA AMANI UNAOFANYWA KWA MASLAHI BINAFSI
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
JUMUIYA ya Amani na Maridhiano Tanzania Mkoa wa Mwanza, imewashauri viongozi wa dini ya Kiislamu na taasisi za dini hiyo,kuwa kioo...
NYAMATARE FC NYAKATO KUCHEZA NUSU FAINALI YA KWANZA MATHAYO CUP KESHO
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Nyamatare fc na Nyakato fc kesho zitakutana kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya mashindano ya Mathayo Cup.
Mchezo huo...
COASTAL UNION WALAMBA DUME UDHAMINI KUTOKA ELSEWEDY CABLE
Na Boniface Gideon, TANGA
Timu ya soka ya Coastal Union ya Jijini Tanga imemewatambulisha wadhamini wao wapya ambao watakuwa wadhamini kwa msimu mmoja wa ligi...
BODI YA WAKURUGENZI YA TAWA YAFANYA UKAGUZI WA KIKOSI MAALUMU CHA MBWA JNIA
Na Mwandishi wetu
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko imefanya ziara...
MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFI DUNIANI YAANZA NA FUKWE ZA BAHARI YA HINDI
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni jijini Dar es salaam Saad Mtambule ameongoza Wananchi wa Kata ya Kunduchi na Mashirika yasiyoya kiserikali kufanya usafi katika...








