MBUNGE OLE LEKAITA AMPA TANO RAIS SAMIA//BIL 1.104 UJENZI SHULE SHIKIZI WILAYANI KITETO
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
WADAU WAVUTIWA NA BANDA LA GST KATIKA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI MKOANI GEITA
● Wadau wa Sekta ya Madini waona umuhimu wa kutumia taarifa za GST
Wadau mbalimbali wameeleza kuvutiwa na Kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania kinachopatikana katika...
WAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA USIMAMIZI WA MAADILI WALIMU PEKE YAO
Na Shomari Binda-Musoma
WAZAZi na walezi wametakiwa kutowaachia usimamizi wa malezi ya maadili ya wanafunzi walimu peke yao.
Kauli hiyo imetolewa na diwani wa Kata ya...
MAJALIWA AAGIZA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA WARUDISHWE MAKAO MAKUU
Asisitiza Rais Samia anataka uadilifu SerikaliniAhimiza mji wa Mutukula ujengwe kibiashara
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania...
MCHENGERWA AWATANGAZIA KIAMA WAKURUGENZI WATAKAOSHINDWA KUTEKELEZA MRADI WA TACTIC
OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mkurugenzi wa Halmashauri atakayeshindwa kusimamia Mradi wa...
WATANZANIA 28,600 WAVUNA MAMILIONI YA TIGO CHA WOTE
Washindi elfu ishirini na nane mia sita (28,600) wamepatikana kwenye kampeni ya Cha wote kutoka tigo tokea kuanza kwa kampeni hiyo iliyodumu kwa siku...
TBS WAKIFIKIA KIJIJI CHA MSOMERA, WAFANYA UKAGUZI WA BIDHAA ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI...
Na Mwandishi Wetu
Shirika la Viwango Tanzania ( TBS) , jana Septemba 22,2023 katika Kijiji Cha Msomera Wilaya ya Handeni - Tanga limefanya Ukaguzi wa...
TANZANIA KUFIKIA LENGO LA AFYA KWA WOTE MWAKA 2030
Serikali yaTanzania imejidhatiti kutekeleza malengo ya kufikisha huduma za afya kwa wote hadi ifikapo mwaka 2030.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu...











