Saturday, May 2, 2026
Home 2023 September 4

Daily Archives: September 4, 2023

MHE. ANGELAH KAIRUKI AWASILI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, AANZA KAZI

0
Awataka watumishi kumpa ushirikiano katika utendaji kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angelah Kairuki (Mb) amewataka Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kumpa...

DKT. BITEKO AKABIDHI OFISI YA WIZARA YA MADINI KWA MAVUNDE

0
#Mhe. Mavunde aainishiwa Vipaumbele vya Wizara ya Madini 2023/24 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amemkabidhi Ofisi ya Wizara ya Madini...

MWENYEKITI HANCY, DIWANI ASHA MUHAMED WACHANGIA TOFALI 250 UJENZI NYUMBA YA KATIBU UWT MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa ( UWT) mkoa wa Mara, Nancy Msafiri, na diwani wa viti maalum manispaa ya Musoma Asha Muhamed wamechangia tofali 250...

JESHI LA POLISI MKOA WA PWANI LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA 354 KATIKA MWEZI AGOSTI

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watuhumiwa 354 waliohusika katika uhalifu wa makosa mbalimbali ya jinai ikiwa ni pamoja na kukamata nyama ya...

MAVUNDE AAHIDI KUENDELEZA MAGEUZI SEKTA YA MADINI

0
#Aipongeza kazi kubwa iliyofanywa na Dkt. Biteko #Kuzungumza na GST leo Waziri wa Madini Anthony Mavunde amewahakikishia Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake kuendeleza...

WATUMIAJI MAFUTA YA ALIZETI KUTOKA NYIHITA SUNFLOWER WASIFU UBORA WAKE

0
Na Shomari Binda-Musoma WATUMIAJI wa mafuta ya alizeti yanayozalishwa kwenye kampuni ya Nyihita Sunflower Cooking Oil Production,wamesifu ubora wa mafuta hayo. Wakizungumza kwenye banda la kampuni...