Saturday, June 27, 2026
Home 2022 November

Monthly Archives: November 2022

Kocha wa makipa Simba akamatwa tuhuma dawa za kulevya

0
Na Mercy Maimu Mammlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa 11 akiwemo kocha wa makipa wa timu ya Simba Club, Muharami...

MWANAFUNZI WA KITANZANIA ASHINDA TUZO YA SILVER AWARD YA UBUNIFU NA UANDISHI JUMUIYA YA...

0
Mwanafunzi FORTUNATUS Felician BUNDALA (17) amepata tuzo ya Jumuiya ya Madola kwa kutunukiwa tuzo ya Silver Award kutokana na kazi yake nzuri ya kitaaluma...

TADB BENKI KUWANUFAISHA VIZIWI WAKULIMA NA WAFUGAJI KWA KUWPATIA MAFUNZO YA KILIMO

0
Na Magrethy Katengu Jamii imeshauriwa kutambua na kuthamini kundi Maalumu la Viziwi katika kuwashirikisha katika uchumi jumuiashi ili kusaidia kuondokana utegemezi kwani nao wananguvu na...

KITENGO KIPYA CHA MAJANGA YA AJALI KUSHUGHULIKA KATIKA KUOKOA MAISHA YA WATU

0
Na Englibert Kayombo WAF - Dodoma. Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo...

SERIKALI YAVITAKA VYUO KUWEKA MSISITIZO ZAIDI MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI

0
SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na ujuzi unaohitajika...

DAR BINGWA CRDB TAIFA CUP, DODOMA, UNGUJA, TANGA ZANG’ARA

0
Na Boniface Gideon, TANGA Michuano ya Mchezo wa Basketball Nchini Maarufu kama CRDB TAIFA CUP imemalizika mwishoni mwa Wiki usiku wa kuamkia Jana jumapili huku...

UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE KULETA TIJA KWA WATANZANIA

0
Yanahitajika kwa Wingi Duniani Migodi Yatoa Ajira kwa Watanzania Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amebainisha kuwa, biashara ya Makaa ya Mawe inatarajia kuleta tija...

BARAZA LA WAFANYAKAZI BRELA LAPIGWA MSASA

0
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wametakiwa kuzingatia Sheria, kanuni, Muundo na miongozo ya baraza hilo...

NHC KUKUTANA NA WADAU TAKRIBANI 1000 KATIKA UZINDUZI WA SERA YA UBIA YA SHIRIKA

0
Na Mercy Maimu Shirika la nyumba la Taifa NHC linatarajia kuzindua sera ya Ubia inayoenda kufungua milango ya uwekezaji kwenye sekta ya nyumba...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA BAGAMOYO NOV 11

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania wote hususan wasanii wa kizazi kipya, kuepuka...