Home 2026
Yearly Archives: 2026
PROF. KABUDI AHAMASISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, amewahimiza Watanzania wanaotembelea Maonesho ya 50...
WAZIRI SANGU AKUTANA NA MZEE WA UPAKO NA MTUME MALISA
✅ Aeleza umuhimu wa Mahusiano mema katika kuimarisha mshikamano wa Taifa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus...
JKT WANG’ARA SABASABA 2026, WANYAKUA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UZALISHAJI, KILIMO NA...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, Julai 3, 2026 – Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeendelea kuthibitisha ubora wake katika uzalishaji na maendeleo ya uchumi...
DKT. MUNISI: TAASISI ZA DINI NI WADAU MUHIMU KATIKA MAENDELEO YA TAIFA
Na: OWM (KAM)– Muleba, Kagera
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na taasisi za dini katika kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii na kujenga jamii yenye maadili,...
CHANGAMKIENI FURSA ZA BIASHARA NCHINI CHINA-LONDO.
Serikali imewahimiza wafanyabiashara na wawekezaji nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi nchini China ili kukuza biashara zao na kuongeza mauzo ya bidhaa za ndani nje...
BUNIFU ZA WANAFUNZI WA DIT ZAWAVUTIA MAELFU MAONESHO YA SABASABA 2026 .
Na Mwandishi Wetu.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu cha ubunifu na teknolojia nchini kupitia ushiriki wake katika Maonesho...
MAELFU WAVUTIWA NA BIDHAA ZA NGOZI ZA DIT KAMPASI YA MWANZA SABASABA 2026 ,...
Na Mwandishi Wetu.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kampasi ya Mwanza imeendelea kuthibitisha ubora wake katika ubunifu na maendeleo ya teknolojia baada ya...
CMSA YAHIMIZA WANANCHI KUWEKEZA KUPITIA MIFUMO RASMI YA MASOKO YA MITAJI
Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imewahimiza wananchi kutumia mifumo rasmi ya uwekezaji ili kunufaika na fursa zinazotolewa katika soko la mitaji...
MIAKA 25 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA, MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA KUJENGA RASILIMALIWATU...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati wa hafla ya kilele cha...
WIZARA YA FEDHA YASISITIZA ELIMU YA FEDHA KUKUZA UCHUMI WA NCHI IFIKAPO 2050.
Na. Saidina Msangi na Asia Singano, WF, Dar es Salaam.
Wizara ya Fedha imebainisha kuwa imeelekeza bajeti yake katika kumwezesha mwananchi kiuchumi, ikilenga kufikia malengo...













