Wednesday, October 14, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

WAZIRI SANGU: TAASISI ZA DINI NI NGUZO YA AMANI, MAADILI NA MALEZI BORA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu, akihutubia waumini na wageni mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya...

WAZIRI SANGU: TAASISI ZA DINI NI NGUZO YA AMANI, MAADILI NA MALEZI BORA

0
Na: OWM (KAM), Manyoni - Singida Serikali imesema inatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kuimarisha huduma za kijamii kudumisha amani na kukuza maadili...

DCEA YAKAMATA TANI 22.6 ZA DAWA ZA KULEVYA NDANI YA MIEZI MIWILI

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata tani 22.6 za dawa za kulevya, lita 30.5...

DCEA YATUMIA SABASABA KUIMARISHA ELIMU DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM WANANCHI wanaotembelea Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu watapata fursa ya...

TTCL YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA VITENDEA KAZI, YAKABIDHI MAGARI SITA

0
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kutekeleza mkakati wake wa kuboresha mazingira ya kazi kwa kukabidhi magari sita (6) mapya yenye thamani ya Shilingi...

MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA WAIMARISHA UPATIKANAJI, UDHIBITI WA BEI NA MAPATO YA...

0
Na Mwandishi Wetu Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA) umesema mfumo wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja umeendelea...

KABUDI: USAFI WA MAZINGIRA SASA NI AJENDA YA KIMKAKATI YA MAENDELEO YA TAIFA

0
KATIKA  hatua inayoashiria mabadiliko ya kimkakati katika usimamizi wa mazingira nchini, Serikali imeweka bayana mwelekeo mpya wa kuimarisha usafi wa mazingira kama nyenzo muhimu...

BANGU AWATAKA WAENDESHA GHALA KUIMARISHA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI

0
Mkurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, amewataka waendesha maghala kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na utoaji wa huduma bora...

BARAZA LA FAMASI LAIMARISHA USHIRIKIANO NA WAANDISHI WA HABARI

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Baraza la Famasi limeanzisha mkakati wa kuimarisha ushirikiano na wahariri na waandishi wa habari nchini kwa kuwajengea uelewa kuhusu...

KAPINGA: MAONESHO YA SABASABA YAONESHA MAFANIKIO

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb) , amesema Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yameonyesha...