Tuesday, October 13, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

WRRB YATANGAZA FURSA MPYA KWA WAFUGAJI

0
Wafugaji nchini wanatarajiwa kunufaika na biashara ya kisasa ya mifugo baada ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kuanza kuingiza mifugo katika...

WAZALISHAJI KUTUMIA ALAMA YA ‘MADE IN TANZANIA’ KUONGEZA USHINDANI KIMATAIFA

0
Na.Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM: Serikali imewaagiza wazalishaji wote nchini kutumia alama ya 'Made in Tanzania' ili kuongeza imani kwa bidhaa zinazozalishwa nchini na kuimarisha ushindani...

MMS ATEMBELEA WADAU MAONESHO YA SABASABA 2026

0
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akisaini kitabu cha wageni alipowasilikwemye viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere vilivyopo Barabara ya Kilwa Dar es...

TIRDO YAIBUKA NA SULUHISHO RAFIKI KWA MAZINGIRA KATIKA UCHAKATAJI NGOZI

0
Matumizi ya kemikali katika uchakataji wa ngozi yanatarajiwa kupungua kufuatia ubunifu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) wa kubuni dawa...

TANZANIA YATOA WITO WA KUIMARISHWA KWA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KATIKA UTAWALA WA AKILI UNDE

0
Na.Mwandishi Wetu-Geneva  Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo ya kasi ya Akili Unde (AI) yanasimamiwa kupitia mifumo ya kimataifa...

BOT ACADEMY YAWAKARIBISHA WATANZANIA KUJIUNGA NA PROGRAMU ZA MAFUNZO YA KIBENKI

0
Na Mwandishi Wetu CHUO cha Benki Kuu ya Tanzania (BOT Academy) kimewahimiza Watanzania, hususani wahitimu wa elimu mbalimbali na watumishi wa sekta ya fedha, kujiunga...

TET YATUMIA MAONESHO YA SABASABA KUELIMISHA UMMA KUHUSU MABORESHO YA MITAALA NA ELIMU

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imesema ushiriki wake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es...

MZUMBE YAWAALIKA WANAFUNZI KUJIUNGA NA FANI ZENYE SOKO LA AJIRA

0
Chuo Kikuu Mzumbe kimesema kimejipanga kuendelea kuisaidia jamii kwa kutoa elimu bora inayozalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na...

MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA WAIMARISHA UPATIKANAJI, UDHIBITI WA BEI NA MAPATO YA...

0
Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA) umesema mfumo wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja umeendelea kuimarisha upatikanaji...

TTCL YABORESHA INTANETI KUPITIA MKONGO WA TAIFA

0
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Moremi Marwa, amesema kuwa shirika linatumia Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kama jukwaa...