UFADHILI WA REA WAONGEZA TIJA KWA WAZALISHAJI WA CHUMVI IRAMBA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kufadhili mradi wa uzalishaji wa chumvi ya asili maarufu kama...
KAMPUNI ZA WAZAWA ZATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI ILI KUSHINDANA KIMATAIFA
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, amezitaka kampuni za wazawa zinazotekeleza miradi ya kusambaza umeme vitongojini kufanya...
KAFULILA KUONGOZA MDAHALO WA UBIA WA UMMA NA BINAFSI SUA
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP-Centre), imeandaa Mhadhara wa...
NEEC YAHITIMISHA MAFUNZO YA FURSA ZA MITAJI MKOA WA RUKWA
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC), kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Mhe. Jacquline Mzindakaya, limehitimisha mafunzo ya utoaji...
UMEME KUBADILISHA MAISHA YA WANANCHI VITONGOJINI
Serikali imedhamiria kubadilisha maisha ya wananchi vitongojini kupitia usambazaji wa umeme unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na wananchi wamehimizwa kuchangamkia kuunganishiwa umeme...
SHERIA BORA NI MSINGI WA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amefungua mafunzo ya tatu ya Bespoke kwa Mawakili wa Serikali, yalioandaliwa na kuratibiwa na Ofisi ya...
USHIRIKIANO WA ORYX GAS NA SKAUTI KUIMARISHA MATUMIZI SALAMA YA LPG
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Oryx Tanzania imezindua kitabu cha Mwongozo wa Matumizi Salama ya Gesi ya LPG na kusaini mkataba wa ushirikiano wa miaka...
MASWI: NGOS NI NGUZO MUHIMU YA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050
Julai 14, 2026 - Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eliakim Maswi leo amekutana na wajumbe wa Baraza...
TBA YANG’ARA SABASABA, YASHINDA TUZO YA BANDA BORA KATIKA SEKTA YA MILIKI NA REAL...
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umeibuka mshindi wa nafasi ya pili na kutunukiwa tuzo ya Banda Bora katika Sekta ya...
KAPINGA AMKABIDHI MLEMAVU MASHINE YA KUSAGIA VIUNGO
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amemkabidhi mfanyabiashara mwenye ulemavu, Bi.Esther Mashaka Msengi, mashine ya kusagia viungo ili kuongeza uzalishaji, kupunguza...













