DG RUWASA AWAELEKEZA MAMENEJA WA MIKOA NA WILAYA KUZISHIRIKISHA CBWSOs KATIKA PROGRAMU ZOTE
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mha. Wolta Kirita, amesisitiza umuhimu wa kushirikisha Vyombo vya Utoaji wa Huduma...
UHAMIAJI: WAENDESHA VYOMBO VINAVYOVUKA MIPAKA WATAKIWA KUWAFIKISHA RAIA WA KIKEGENI WASIOJULIKANA KATIKA VITUO HUSIKA
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Kamishna wa Uhamiaji wa Kitengo cha Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka, CI Fakin Nyakunga, amewataka waendesha vyombo vya moto vinavyovuka...
SERIKALI YAENDELEA KUSOGEZA ELIMU YA FURSA ZA MITAJI KWA WANANCHI RUKWA
Mafunzo ya utoaji wa elimu kuhusu fursa za mitaji kupitia mifuko na programu mbalimbali za uwezeshaji wananchi kiuchumi yanaendelea kufanyika katika Manispaa ya Sumbawanga,...
PROF.NOMBO ATOA MAAGIZO MATANO KUIFANYA ELIMU IENDANE NA MAHITAJI YA TAIFA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo,akizungumza wakati akifungua kikao cha mwaka cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi...
DIT Yazidi Kung’ara Kimataifa: Wanafunzi 30 Wamaliza Muhula China, Warejea na Maarifa ya Teknolojia...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, Julai 12, 2026 – Wanafunzi 30 wa Idara ya Uhandisi Umeme kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT)...
FCC YAWAPA WAJASIRIAMALI MBINU ZA KULINDA BIASHARA ZAO DHIDI YA BIDHAA BANDIA
Na. Mwandishi Wetu
TUME ya Ushindani (FCC) imeendelea kutumia Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kutoa elimu kwa wajasiriamali...
MYCOELY BALOZI MPYA WA MAZINGIRA NCHINI
Msanii wa Mziki wa Bongo fleva nchini Michael Muganda (Mycoely) amesaini hati ya makubaliano na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira...
KITABU CHA FALSAFA YA SHERIA YA MAMA SAMIA KUBORESHA MAGEUZI YA KIUCHUMI NA KIJAMII
Serikali imesema, Sheria zinapaswa kutumika kama nyenzo ya maendeleo ya taifa kwakuwa ubora wa Sheria hupimwa kwa matokeo yake katika kuboresha maisha ya wananchi,...
SHERIA INA THAMANI PALE INAPOBADILISHA MAISHA YA WATU – MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S.Johari amesema kuwa, Sheria zinapaswa kutumika kama nyenzo ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa kufungua fursa,...













