WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA TRA KULIPA KODI KWA HIARI
Kariakoo, 31 Julai, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Kariakoo imeendelea kuimarisha ushirikiano na walipakodi kupitia mikutano ya ana kwa ana (Outreach)...
COOP BANK YAPAA, MIKOPO YAFIKIA SH. BILIONI 102 KWA MWAKA MMOJA
Na.Alex Sonna-DODOMA
BENKI ya Ushirika Tanzania (Cooperative Bank Tanzania Plc) imeendelea kuonyesha kasi ya ukuaji baada ya kuongeza mikopo kutoka Shilingi bilioni 14 mwaka 2024...
WAKULIMA 1000 KUNUFAIKA NA MPANGO WA KUONDOA MATUMIZI YA VIUATILIFU HATARISHI TANZANIA
Takribani wakulima wadogo 1,000 kutoka mikoa ya Morogoro, Dodoma na Arusha wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kuondokana na matumizi ya viuatilifu hatarishi katika shughuli...
MKURUGENZI BANGU: AJIRA 31,875 ZIMEZALISHWA KUPITIA WRS
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Julai 31, 2026,...
CHATILA AFUNGUKA MIPANGO YA KUIBADILI UJENZI SPORTS CLUB
Na. Mtemi Sona
Dodoma. Mwenyekiti wa Ujenzi Sports Club, Arch. Ibrahim Chatila, amesema uongozi mpya umejipanga kuijenga timu hiyo kuwa ya kisasa, imara na yenye...
TBS YATOA MWELEKEO , BIDHAA ZA TANZANIA KUNUFAIKA NA ALAMA YA UBORA YA AFRIKA
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam – Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Leo Julai, 31, 2026 kwa kushirikiana na Taasisi ya Viwango Afrika (ARSO), limezindua...
TANZANIA YAHIMIZWA KUSITISHA MATUMIZI YA ZEBAKI KATIKA UCHIMBAJI IFIKAPO 2032
Na.Alex Sonna-DODOMA
WAKATI dunia ikishuhudia ongezeko la biashara ya zebaki kutoka tani 1,200 mwaka 2017 hadi tani 1,700 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia...
PROF. NOMBO ATOA MWELEKEO MPYA WA ELIMU YA UJUZI NA STADI ZA KAZI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo,akizungumza Julai 31, 2026 Jijini Dar es Salaam wakati akifungua Kikao cha Kamati...
WRRB YAPANUA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA KWENDA SEKTA YA MIFUGO
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Julai 31, 2026,...
TRA KARIAKOO YAWAELIMISHA WAFANYABIASHARA KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA ZA KODI 2026/2027
Kariakoo, Julai 30, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa kikodi Kariakoo imeendesha semina maalum kwa wafanyabiashara ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuendelea...












