NAIBU WAZIRI LONDO ASHANGAZWA NA UTHABITI WA MAABARA ZA TBS.
Na Mwandishi Wetu.
UWEKEZAJI unaofanywa katika Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) umeongeza uwezo wa taasisi hiyo kulinda afya za Watanzania, thamani ya fedha za wananchi...
SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA TAASISI ZA DINI.
Na Mwandishi - Karagwe.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kudumisha ushirikiano na...
DC BAHI AKABIDHI GARI RUWASA, AMKARIBISHA MENEJA MPYA MKOA
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Thobias Nyingo amekabidhi gari jipya aina ya ‘Toyota Pickup’ kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi...
PROF MKENDA: SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KWA WANAFUNZI BORA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari jana Julai 27,2026 jijini Dodoma kuhusu uteuzi wa wanafunzi 1,050 waliofanya...
NAIBU WAZIRI LONDO AWATAKA WAZALISHAJI KUTUMIA HUDUMA ZA TBS
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
UWEKEZAJI unaofanywa katika Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) umeongeza uwezo wa taasisi hiyo kulinda afya za Watanzania, thamani ya...








