Monday, August 17, 2026
Home 2026 July

Monthly Archives: July 2026

MHE.JOHARI, DKT.SHEKALAGHE WAJADILI MIKAKATI YA KUIMARISHA UTEKELEZAJI WA SHERIA NCHINI

0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Abdallah...

AFRIKA YAWEKA MIKAKATI YA KUHARAKISHA VIWANDA NA BIASHARA

0
Na. Saidina Msangi, WF, Abidjan, Côte d’Ivoire. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mshamu Ali Munde (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis...

DC MAPUNDA: TAMAA YA MAISHA YA HARAKA YAWAINGIZA VIJANA KWENYE DAWA ZA KULEVYA

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema sababu kubwa inayowasukuma baadhi ya vijana kujihusisha na usafirishaji wa dawa za...

SERIKALI YAZINDUA MRADI WA MIKOPO NAFUU UJENZI WA VITUO VIDOGO VYA MAFUTA VIJIJINI

0
📌 Mradi unatekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kupitia Benki ya AZANIA 📌 Lengo la Mradi ni kupunguza kwa kiwango kikubwa biashara hatarishi ya...

WAJASIRIAMALI BAGAMAYO WAPATIWA MAFUNZO MATUMIZI SALAMA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Oryx Gas Tanzania imetoa mafunzo ya matumizi salama...

TANZANIA YASUKUMA AJENDA YA VIWANDA AFRIKA

0
Na. Saidina Msangi, WF, Abidjan, Côte d’Ivoire. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa...

WAZIRI SANGU AHAMASISHA WAJASIRIAMALI KUJISAJILI KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI RWANDA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus C. Sangu, akizungumza na waandishi wa habari mjini Sumbawanga, Mkoa wa...

WAZIRI MAVUNDE AELEKEZA USIMAMIZI THABITI WA SHERIA ILI ASILIMIA 90 YA BIDHAA NA HUDUMA...

0
▪️Ampongeza Rais Samia kwa kuwa kinara wa ushirikishwaji wa Watanzania migodini ▪️Awataka Watanzania kuunganisha nguvu na kutoa huduma bora ▪️Atoa angalizo kwa wawekezaji kutii sheria za...

VITONGOJI VYOTE MTWARA KUFIKISHIWA UMEME – WAZIRI NDEJEMBI

0
📌Zaidi ya Bilioni 203 zatumika kufikisha Umeme kwenye Vijiji mkoani Mtwara Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeahidi kutafuta fedha kuhakikisha Vitongoji vyote mkoani Mtwara vinafikishiwa...

WAZIRI SANGU: BONDE LA ZIWA RUKWA NI HAZINA YA AJIRA KWA VIJANA

0
Na: OWM (KAM), Sumbawanga Mbunge wa Jimbo la Kwela ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus...